TAHADHARI: KONA HIZI ZA IYOVI NI KALI, DEREVA KUWA MAKINI, EPUSHA MAISHA YA ABIRIA
Wewe ni dereva wa basi la abiria ama gari binafsi ? hebu chukua hatua ya kupunguza ajali leo kwa kujihadhari na kona hizi na Iyovi na Kitonga na kona nyingine kali kama hizi nchini kwani maisha yako ni dhamani kubwa na uhai wake bado tunautamani.  Vema kuheshimu alama za barabarani na kuacha mbwembwe uwapo barabarani katika kona kali kama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Tahadhari kwa madereva kona za Iyovi ni kali sana, endesha kwa umakini kuepusha ajali
Wewe ni dereva wa basi la abiria ama gari binafsi ?hebu chukua hatua ya kupunguza ajali leo kwa kujihadhari na kona hizi na Iyovi na Kitonga na kona nyingine kali kama hizi nchini kwani maisha yako ni dhamani kubwa na uhai wake bado tunautamani.
Vema kuheshimu alama za barabarani na kuacha mbwembwe uwapo barabarani katika kona kali kama hizi.
Katika kona kama hizi zingatia alama za usalama barabarani usiwe na haraka ya kulipita gari la mbele.
Kulipita gari la ...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-sqVwVUM2UZI/VSw6fQ3FTUI/AAAAAAAC_vU/Yv5gBgf07Pc/s72-c/11150318_461846750638323_9138966873478764606_n-1.jpg)
10 years ago
VijimamboDEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA
Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
New Music: Dereva Makini-Banaba, Amini, Dayna & Mr.Blue
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Banaba Boy na Dyna Nyange wamerekodi wimbo wa pamoja kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri. Wimbo unaitwa Dereva Makini umetayarishwa na katika studio za C9.
Kampeni hiyo ya dereva makini imeandaliwa na Transevents Marketing ambao ndio wamiliki wa tovuti ya Kariakoo Digital kwa lengo la kutoa hamasa kwa madereva kuwa makini wanapoendesha magari...
11 years ago
Michuzi26 Jul
New Song: Dereva Makini-Banaba, Amini, Dayna & Mr.Blue
![IMG-20140725-WA0006](http://kariakootz.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG-20140725-WA0006-225x300.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Aug
Dereva Gabreil Joseph wa basi la ABC apongezwa na abiria
Basi la ABC T.433 CVL linaloendeshwa na dereva mbunifu,Gabriel Joseph.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu
DEREVA wa kampuni ya mabasi ya ABC yafanyayo safari zake kati ya Singida na Dar-es-salaam, Gabriel Joseph, amepongezwa kwa hatua yake ya kupandisha hadhi ya wateja wake kwa kuwabatiza jina la wanafamilia wa ABC, badala ya jina la abiria lililozoeleka kwenye vyombo mbalimbali vya usafiri.
Gabriel pamoja na kupandisha hadhi ya abiria wake na kuwaita wanafamilia ya ABC, pia...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Mj0mxl-gtCs/VPjQaJ-DqoI/AAAAAAAHH-k/-hYnM44cujc/s72-c/DSCF5554.jpg)
ABIRIA WANAPOAMUA KUPANDA DALADALA KUPITIA MLANGO WA DEREVA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Mj0mxl-gtCs/VPjQaJ-DqoI/AAAAAAAHH-k/-hYnM44cujc/s1600/DSCF5554.jpg)
11 years ago
Michuzi27 Feb
Video: Mr. Blue, Dyna, Barnaba Boy na Amini warekodi wimbo wa kampeni ya dereva makini 2014
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Barnaba Boy na Dyna Nyange wameshiriki kurekodi wimbo wao utakaotumika kwenye kampeni ya dereva makini inayolenga kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri.
Wimbo huo umerekodiwa na...