Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ABIRIA WANAPOAMUA KUPANDA DALADALA KUPITIA MLANGO WA DEREVA

Kamera ya Globu ya Jamii imewanasa abiria hawa wakipanda daladala kupitia Mlango wa Dereva kutokana na hali ya gombalia goli iliyikuwepo kwenye mlango wa kawaida wa abiria.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Aokoa dereva kwa kukunja mlango wa gari

Mwanamume mmoja nchini Marekani alimuokoa dereva wa gari lililokuwa linateketea kwa kuukunja mlango wa gari hilo kwa mikono yake.

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

11 years ago

CloudsFM

NAULI ZA DALADALA KUPANDA TENA

HATIMAYE picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka kati ya Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.

Kwa wanafunzi, nauli kwa ruti moja kwenda katika vituo hivyo vikubwa katika mradi huo ambao utaanza kwa majaribio mwishoni mwa mwaka huu, zitapanda kutoka Sh...

 

11 years ago

Habarileo

Nauli daladala Dar kupanda

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi, Jumanne Sagini,HATIMAYE picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka kati ya Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.

 

11 years ago

GPL

WASTARA AZICHAPA NA DEREVA DALADALA

UBABE! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma aliwahi kuzichapa kavukavu na dereva wa daladala baada ya kuoneshewa ishara ya matusi. Ishu ilikuwa hivi, miaka miwili iliyopita jijini Dar, Wastara alikuwa na wasanii wenzake kituoni sasa daladala likapita karibu yao na kummwagia maji na alipojaribu kumwambia kistaarabu kwamba hakufanya ‘fea’, dereva huyo akamuoneshea ishara ya matusi. Mwigizaji wa sinema za...

 

11 years ago

GPL

ASKARI WAMPA KIPONDO DEREVA DALADALA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
WAKAZI  wa  mjini hapa wamekilaani kitendo cha askari wa kituo kikuu cha polisi baada ya kumpa kipondo na kumkwida hadi kumvua nguo hadharani dereva wa daladala aliyefahamika kwa jina la Bello. Polisi akimpa kichapo dereva daladala. Tukio hilo lililojaza umati wa watu lililoshuhudiwa na paparazi wetu lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya stendi ya daladala mjini hapa. Mashuhuda...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva wa daladala aua mpigadebe akijihami

Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Tarime/Rorya, Justus KamugishaJESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya linamsaka dereva wa basi dogo la abiria `daladala’ linalofanya kazi kati ya mji mdogo wa Sirari, Tarime na Mugumu wilayani Serengeti akihutumiwa kumuua mpigadebe wa stendi ya Sirari, Chacha Suguta (28).

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI AMCHOMA KISU DEREVA DALADALA!

Na Makongoro Oging’
MAISHA haya siku hizi balaa tupu! Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kwembe, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam (jina limefichwa), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Magomeni kwa madai ya kumchoma kisu dereva wa daladala. Dereva akiwa miguuni mwa mwanafunzi. Uwazi limenasa mkasa huo uliotokea Juni Mosi, mwaka huu eneo la Manzese na kubaini kuwa aliyechomwa kisu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani