Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA AZICHAPA NA DEREVA DALADALA

UBABE! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma aliwahi kuzichapa kavukavu na dereva wa daladala baada ya kuoneshewa ishara ya matusi. Ishu ilikuwa hivi, miaka miwili iliyopita jijini Dar, Wastara alikuwa na wasanii wenzake kituoni sasa daladala likapita karibu yao na kummwagia maji na alipojaribu kumwambia kistaarabu kwamba hakufanya ‘fea’, dereva huyo akamuoneshea ishara ya matusi. Mwigizaji wa sinema za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA JUMA AZICHAPA NA MUMEWE MAHAKAMANI

WIKI iliyopita katika makala haya tuliishia pale mwigizaji Wastara Juma alivyokimbizwa na mumewe wa kwanza na kuokolewa na difenda la polisi, TUENDELEE… Mwigizaji wa Muvi Bongo Wastara Juma APEWA TALAKA Mwandishi: Nini kiliendelea baada ya purukushani hizo zote?
“Zilipita siku tatu mume wangu alinipigia simu akiwa na dada yake na kunitamkia kwamba ameniacha kwa talaka tatu na huyo dada yake ndiye shahidi na hiyo...

 

11 years ago

GPL

ASKARI WAMPA KIPONDO DEREVA DALADALA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
WAKAZI  wa  mjini hapa wamekilaani kitendo cha askari wa kituo kikuu cha polisi baada ya kumpa kipondo na kumkwida hadi kumvua nguo hadharani dereva wa daladala aliyefahamika kwa jina la Bello. Polisi akimpa kichapo dereva daladala. Tukio hilo lililojaza umati wa watu lililoshuhudiwa na paparazi wetu lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya stendi ya daladala mjini hapa. Mashuhuda...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva wa daladala aua mpigadebe akijihami

Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Tarime/Rorya, Justus KamugishaJESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya linamsaka dereva wa basi dogo la abiria `daladala’ linalofanya kazi kati ya mji mdogo wa Sirari, Tarime na Mugumu wilayani Serengeti akihutumiwa kumuua mpigadebe wa stendi ya Sirari, Chacha Suguta (28).

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI AMCHOMA KISU DEREVA DALADALA!

Na Makongoro Oging’
MAISHA haya siku hizi balaa tupu! Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kwembe, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam (jina limefichwa), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Magomeni kwa madai ya kumchoma kisu dereva wa daladala. Dereva akiwa miguuni mwa mwanafunzi. Uwazi limenasa mkasa huo uliotokea Juni Mosi, mwaka huu eneo la Manzese na kubaini kuwa aliyechomwa kisu...

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WANAPOAMUA KUPANDA DALADALA KUPITIA MLANGO WA DEREVA

Kamera ya Globu ya Jamii imewanasa abiria hawa wakipanda daladala kupitia Mlango wa Dereva kutokana na hali ya gombalia goli iliyikuwepo kwenye mlango wa kawaida wa abiria.

 

11 years ago

GPL

DEREVA DALADALA NA FUNDI MAKENIKA WAZOA MAMILIONI YA TIGO PESA‏

Mshindi wa shilingi milioni 2 wa promosheni ya 'Shinda Kitita na Tigo Pesa' Lazaro Loti Tulunyu ambaye pia ni fundi makenika wa Old Tabata dampo akifurahia kitita chake cha fedha alizokabidhiwa rasmi mapema leo na Mratibu wa Promosheni wa Tigo Pesa Mary Rutta (kushoto). Zawadi zinazoshindaniwa kwenye promosheni hii ni za shilingi 200,000/- kwa wateja 50 kila siku, pia milioni 2 kwa wateja 20 kila wiki.…
...

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AZICHAPA UKUMBINI

Na Shakoor Jongo
STAA wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amejikuta akizichapa na mwanamke aitwaye Sarah Mwakapala ambaye miaka mitano iliyopita waliwahi kugombea penzi la mwanaume anayejulikana kwa jina la Mwilu Mwilola ‘Silva’. Tukio la ugomvi huo lilichukuwa nafasi juzi katika Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo Victoria jijini Dar ambapo kulikuwa na sherehe ya kuzaliwa ya rafiki yao aliyetambulika kwa jina la Jamila....

 

5 years ago

Michuzi

MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI

AJALI YA GARI KUGONGA BAJAJI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani