DEREVA DALADALA NA FUNDI MAKENIKA WAZOA MAMILIONI YA TIGO PESA
Mshindi wa shilingi milioni 2 wa promosheni ya 'Shinda Kitita na Tigo Pesa' Lazaro Loti Tulunyu ambaye pia ni fundi makenika wa Old Tabata dampo akifurahia kitita chake cha fedha alizokabidhiwa rasmi mapema leo na Mratibu wa Promosheni wa Tigo Pesa Mary Rutta (kushoto). Zawadi zinazoshindaniwa kwenye promosheni hii ni za shilingi 200,000/- kwa wateja 50 kila siku, pia milioni 2 kwa wateja 20 kila wiki.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLJUBILEE INSURANCE KUTUMIA M-PESA KUWAWEZESHA MAMILIONI YA WATANZANIA WENYE KIPATO CHA CHINI KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA
5 years ago
MichuziWateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Kampuni ya simu ya Tigo yazindua kampeni ya ‘Chagua Tigo Pesa, Inalipa’
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa kampeni ya ya Chagua Tigo Pesa, Inalipa. Kulia ni Meneja Bidhaa wa Tigo, William Mpinga.
Meneja Bidhaa wa Tigo, William Mpinga (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto ni Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya...
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.
Tigo Tanzania leo imekuwa...
10 years ago
MichuziAirtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa
10 years ago
GPLAIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA
11 years ago
GPLWASTARA AZICHAPA NA DEREVA DALADALA
11 years ago
Habarileo04 May
Dereva wa daladala aua mpigadebe akijihami
JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya linamsaka dereva wa basi dogo la abiria `daladala’ linalofanya kazi kati ya mji mdogo wa Sirari, Tarime na Mugumu wilayani Serengeti akihutumiwa kumuua mpigadebe wa stendi ya Sirari, Chacha Suguta (28).
11 years ago
GPLASKARI WAMPA KIPONDO DEREVA DALADALA