Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tahadhari kwa madereva kona za Iyovi ni kali sana, endesha kwa umakini kuepusha ajali

 Wewe  ni  dereva  wa basi la abiria ama  gari  binafsi ?hebu  chukua  hatua ya  kupunguza ajali  leo kwa kujihadhari na  kona  hizi na Iyovi na Kitonga na  kona  nyingine kali kama  hizi nchini kwani maisha  yako ni  dhamani  kubwa na uhai  wake bado tunautamani.

 Vema  kuheshimu alama  za barabarani na  kuacha mbwembwe  uwapo  barabarani katika kona kali kama hizi.

 Katika kona kama hizi zingatia  alama za usalama barabarani usiwe na haraka ya kulipita gari la mbele.

Kulipita gari la ...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TAHADHARI: KONA HIZI ZA IYOVI NI KALI, DEREVA KUWA MAKINI, EPUSHA MAISHA YA ABIRIA

Wewe ni  dereva  wa basi la abiria ama gari  binafsi ? hebu  chukua  hatua ya  kupunguza ajali  leo kwa kujihadhari na  kona  hizi na Iyovi na Kitonga na  kona  nyingine kali kama  hizi nchini kwani maisha  yako ni  dhamani  kubwa na uhai  wake bado tunautamani.  Vema  kuheshimu alama  za barabarani na  kuacha mbwembwe  uwapo  barabarani katika kona kali kama...

 

11 years ago

Habarileo

Madereva wa bodaboda watatu wafa kwa ajali

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius WamburaMADEREVA watatu wa bodaboda wamekufa katika matukio matatu tofauti yaliyohusisha ajali za barabarani.

 

10 years ago

Michuzi

Utii wa Sheria kwa Madereva utapunguza ajali za Barabarani

Madereva hapa nchini wametakiwa kufuata sheria ya matumizi bora ya barabara ili kuepusha madhara yanayosababisha kupoteza maisha ya watu,ulemavu wa kudumu na upotevu wa mali.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani inayofanyika kitaifa mkoani Arusha,Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya uagizaji wa magari nchini ya Be Forward Tanzania,Daniel Mtaalam amesema njia hiyo ndio suluhu za ajali zinazotokea mara kwa mara.
Amesema wao kama wadau wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA MPINGA-MADEREVA WALIOSABABISHA AJALI KWA UZEMBE KUFUTIWA LESENI ZAO.

 Kamanda wa Polisi wa kikosi cha usalama Barabarani Mohammed Mpinga,akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano  na Kamanda wa Polisi wa kikosi cha usalama  barabarani Mohammed Mpinga  jijini Dar leo.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
KIKOSI cha Usalama Barabarani kimesema wanazifuta leseni zote kwa madereva waliosababisha ajali kwa uzembe zikiwemo ajali za hivi karibuni.
Hayo ameyasema leo...

 

5 years ago

Michuzi

MSONGO WA MAWAZO, CHANGAMOTO KWA MADEREVA JUU YA COVID-19, UNAVYOCHANGIA AJALI ZA BARABARANI


Vero Ignatus.

Msongo wa mawazo kwa madereva wa safari ndefu ikiwemo malori na mabasi,kutokana najanga la covid-19 umetajwa kuwa chanzo cha ajali za barabarani.

Janga la Corona lililongia hapa nchini mapema mwezi wa tatu mwaka 2020,limevuruga halihaisi ya utendaji kazi,limepunguza uzalishaji hivyo madereva wengi kukosa muda wa kupumzika,hujawa na uchovu,kutokula mlo kamili,pamoja na uchovu wa kuendesha gari kwa muda mrefu,yote haya yana,unaosababisha kinga zao za mwili kushuka na kuwa...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAANZA KUTOA ELIMU KWA ABIRIA NA MADEREVA ILI KUKABILIANA NA AJALI KATIKA KIPINDI CHA MWISHO WA MWAKA

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Inspekta Ibrahim Omary Samwi(kushoto), na PC Elisante Bura(kulia), wakikagua moja ya magari yanayofanya safari zake mikoani, kutekeleza mkakati wa Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka.Zoezi hili limefanyika muda mfupi kabla ya magari kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali ya Tanzania.Askari wa Kikosi cha Usalama...

 

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA TEMEKE JIJI DAR ES SALAAM (ENDESHA SALAMA-OKOA MAISHA)

Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya A&T Brothers Co. Ltd Abdulmalik Mollel akuzungumza na wananchi juu ya Kuzuia kabisa mwendo kasi kwa magari makubwa barabara ya kutoka bandarini kuelekea ubungo kupitia ama Barabara ya Kilwa ama ile ya Mandela kwa wakati wote, na kuweka msisitizo wa alama za mwendo kasi katika barabara hizo kwakuwa pia imekuwa ikichangia kukosa umadhubuti wa breki pindi tatizo la ghafla linapojitokeza,  jana jiji Dar Salaam.Sehemu ya wananchi wakimsikiliza...

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF watoa elimu kwa madereva taxi wa wilaya ya Ilala na madereva kujiunga na mpango wa hiari

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma  akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar

Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PESHNI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA MADEREVA KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma  akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar  Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na kuwasisitiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani