Ukuta waua mtoto
MTOTO Jackline Lubaka (5) mkazi wa Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya Wakihenya, alisema tukio hilo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Ukuta waua wanafamilia
MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani hapa zimesababisha vifo vya watu watatu wa familia moja baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba walipokuwa wamelala. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana...
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Mtoto aangukiwa na ukuta wa jiko
MTOTO Grace Zefania (9), amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa jengo la jiko la Kanisa la Calvary Oysterbay Kinondoni, Dar es Salaam. Tukio hilo lilitokea juzi saa 1:30...
11 years ago
Habarileo09 Apr
Umeme waua mtoto
WANANCHI wa tarafa ya Mang’ula Wilayani Kilombero wamelilalamikia Shirika la Umeme (Tanesco) kupuuzia kurekebisha miundombinu yake katika eneo hilo na kusababisha kifo cha mtoto Amon Ndawala (5).
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Mti waua mama, mtoto
MAMA mjamzito, Sara Leonard (22) na mtoto wake, Christina Salum (4) , wakazi wa Kijiji cha Mgusu, wilayani Geita wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kudondokewa na mti. Tukio...
10 years ago
Dewji Blog11 Jan
MTUKURU waua mtoto wa mwaka mmoja Singida
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
POLISI mkoani Singida inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mtoto wa mwaka mmoja na mama mtoto kulazwa baada ya kunywa pombe ya ‘Mtukuru’ nyumbani kwa mtuhumiwa.
Kamanda wa polisi mkoa, Thobias Sedoyeka alimtaja mwanamke anayeshikiliwa kuwa ni Anastazia Kadama (35) mkazi wa kijiji cha Msule, Misughaa wilayani Ikungi...
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Yanga SC na ukuta wa ‘Berlin’
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Miaka 25 ya ukuta wa Berlin
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Watano waangukiwa na ukuta wa ghorofa
CLARA MATIMO NA ABUBAKARI, MWANZA
WATU watano wamenusurika kifo baada ya kuangukiwa na ukuta walipokuwa wakijenga ghorofa katika barabara ya Nyerere, Kata ya Pamba,Wilaya ya Nyamagana, Mwanza.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walisema ghorofa hilo liliporomoka baada ya mafundi wa Kampuni ya Exactline ya Mwanza, kuchimba mashimo ya kuweka nguzo za jengo hilo.
Mmoja wa mashuhuda hao, Twahili Hussein alisema watu hao walikuwa kwenye mashimo matatu tofauti na...