Watano waangukiwa na ukuta wa ghorofa
CLARA MATIMO NA ABUBAKARI, MWANZA
WATU watano wamenusurika kifo baada ya kuangukiwa na ukuta walipokuwa wakijenga ghorofa katika barabara ya Nyerere, Kata ya Pamba,Wilaya ya Nyamagana, Mwanza.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walisema ghorofa hilo liliporomoka baada ya mafundi wa Kampuni ya Exactline ya Mwanza, kuchimba mashimo ya kuweka nguzo za jengo hilo.
Mmoja wa mashuhuda hao, Twahili Hussein alisema watu hao walikuwa kwenye mashimo matatu tofauti na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
Wanne waangukiwa na mawe mazito Mwanza
Baadhi ya wakazi wa jiji la Mwanza wakiwa wamekusanyika eneo la tukio.
Na Mwandishi wetu, Mwanza
Watu wane wamefriki dunia katika Jiji la Mwanza baada ya nyumba zao kuporomokewa na miamba ya mawe, akitaja waliofariki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Valentino Mlowola aliwataja waliofariki kuwa ni Emanuel Joseph na Kefa Joseph wanafunzi wa shule ya Msingi Mbugani, Kwinta Geko na Samson Odinya ambao ni watu wazima
Kufuatia maporomoko hayo vilio vilitawala na watu wengi wa Jji la Mwanza...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Kesi ya ghorofa yaahirishwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, jana imeahirisha kesi ya mauaji ya watu 27 kutokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Ujenzi wa ghorofa wasitishwa
UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, umezuia ujenzi wa jengo la ghorofa linalojengwa mkabala na Benki ya NMB kutokana na kuwa na nyufa kwenye kuta na nguzo zake. Zuio...
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Ghorofa la Sh500milioni labomolewa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jPrLLXuRuu4vQhgsIeu82gvF7nszWiJk8OIWZt1Swh04SDVzKUFJedNfzpNnAJOmbFnoo4mzGhFonVtukAgwqfvV8wG9X2qh/1.jpg?width=650)
KESI YA GHOROFA YAHAIRISHWA
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Ukuta waua mtoto
MTOTO Jackline Lubaka (5) mkazi wa Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya Wakihenya, alisema tukio hilo...
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Yanga SC na ukuta wa ‘Berlin’
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Miaka 25 ya ukuta wa Berlin
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Ukuta waua wanafamilia
MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani hapa zimesababisha vifo vya watu watatu wa familia moja baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba walipokuwa wamelala. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana...