Ghorofa la Sh500milioni labomolewa
Oparesheni ya bomoabomoa imeendelea kutikisa jijini Dar es Salaam huku ikiacha vilio na simanzi kwa wamiliki wa nyumba, likiwamo ghorofa mali ya mfanyabiashara lililojengwa kwa Sh500 milioni miaka 20 iliyopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Ujenzi wa ghorofa wasitishwa
UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, umezuia ujenzi wa jengo la ghorofa linalojengwa mkabala na Benki ya NMB kutokana na kuwa na nyufa kwenye kuta na nguzo zake. Zuio...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Kesi ya ghorofa yaahirishwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, jana imeahirisha kesi ya mauaji ya watu 27 kutokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya...
10 years ago
GPLKESI YA GHOROFA YAHAIRISHWA
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Meya asimamisha ujenzi wa ghorofa
11 years ago
Habarileo01 Jan
Mkanyageni kupata shule ya ghorofa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuweka mikakati ya kuimarisha huduma za elimu pamoja na kujenga shule za sekondari za kisasa zenye huduma zote muhimu kwa wanafunzi.
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Watano waangukiwa na ukuta wa ghorofa
CLARA MATIMO NA ABUBAKARI, MWANZA
WATU watano wamenusurika kifo baada ya kuangukiwa na ukuta walipokuwa wakijenga ghorofa katika barabara ya Nyerere, Kata ya Pamba,Wilaya ya Nyamagana, Mwanza.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walisema ghorofa hilo liliporomoka baada ya mafundi wa Kampuni ya Exactline ya Mwanza, kuchimba mashimo ya kuweka nguzo za jengo hilo.
Mmoja wa mashuhuda hao, Twahili Hussein alisema watu hao walikuwa kwenye mashimo matatu tofauti na...
10 years ago
MichuziJENGO LA GHOROFA 16 KUBOMOLEWA JIJINI DAR.
Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es SalaamUwepo wa jingo hilo ambalo limejengwa chini ya kiwango limezua hofu kubwa kwa wakazi wa eneo hilo,kwani jingo hilo lipo karibu na jingo jingine lililokuwa na ghorofa 16 ambalo lilianguka...
10 years ago
Habarileo08 Jun
Kinana atahadharisha ujenzi soko la ghorofa
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amehadharisha Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba dhidi ya mpango wake wa kujenga soko la ghorofa kwa kuitaka ijifunze kilichoikumba Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kujenga soko la Machinga Complex .
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Majengo ya ghorofa yatishia maisha Dar
NA MWANDISHI WETU
WAMILIKI wa baadhi ya majengo wamekiuka amri iliyotolewa na serikali ya kuzuia matumizi ya majengo ambayo bado yanaendelea na ujenzi, jambo linalohatarisha maisha ya watu.
Hali hiyo imeonekana katika mitaa mbalimbali ya katikati ya jiji la Dar es Salaam, ambapo maghorofa mengi ambayo ujenzi wake haujakamilika, yanatumika kwa kufunguliwa ofisi na maduka huku ujenzi ukiendelea.
Machi 11 mwaka 2010, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi,...