MTUKURU waua mtoto wa mwaka mmoja Singida
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
POLISI mkoani Singida inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mtoto wa mwaka mmoja na mama mtoto kulazwa baada ya kunywa pombe ya ‘Mtukuru’ nyumbani kwa mtuhumiwa.
Kamanda wa polisi mkoa, Thobias Sedoyeka alimtaja mwanamke anayeshikiliwa kuwa ni Anastazia Kadama (35) mkazi wa kijiji cha Msule, Misughaa wilayani Ikungi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz61mtUTz9nD1KEnSjyJcN5-XP71nTWmkMQWKBqdImnp28FrxBbHG1U*YlvRqtMCB9ylOJUvJcMylsToEEssBdg52/flora.jpg)
FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXCiHu78EKtaS8LMjlA5eFg*mMIMZpfdlVTa0LKWg4qGmMkjXXksS3g3oMO9*Ab5waLTUJLfotvJ0E-AHRNtOaT/mtoto.jpg)
MTOTO MWAKA MMOJA ABAKWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8UjAaansOwysHrvPgp4YySotBfqb908hNnCJL95AYeFU2udJM47RyF00VjV0JmvZOfOPxvvvnEdDidGVyVpRu0/TOT0OO.jpg)
MTOTO MWAKA MMOJA ATELEKEZWA, OFM YAMUOKOA
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mtoto wa mwaka mmoja afariki dunia baada ya kutumbukia Kisimani Mbeya
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.
Na Emanuel Madafa, Mbeya
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba Promis Dank mkazi wa bwawani wilaya ya Chunya amefariki dunia njiani akiwa anapelekwa hospitali baada ya kutumbukia kisimani.
Tukio hilo limetokea Novemba 112 majira ya saa 12 asubuhi huko kitongoji cha Railway, kata ya Bwawani, wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya.
Inadaiwa kuwa, mtoto huyo baada ya kutumbukia kwenye kisima hicho ambacho kilikuwa wazi, aliokolewa akiwa hai...
10 years ago
Dewji Blog15 Apr
Breaking Newsss!!! Mtoto wa mwaka mmoja na nusu aanguka gorofa ya 5 flati za Mwenge Magorofani
Katika hali hisiyo ya kawaida, mtoto mmoja ambaye jina lake halijafahaamika ameanguka mchana wa leo kutoka juu ya jengo la gorofa, gorofa ya tano, huko maeneo ya kota za jeshi, Mwenge Magorofani..
Kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wameelea kuwa, mtoto huyo hadi sasa ameumia vibaya sehemu za kichwani na kutoka damu nyingi, ambapo awali alikimbizwa hospitali ya Lugalo na baadae amepelekwa Muhimbili.
kwa taarifa zaidi zitaendelea kuwajia hivi punde.
0719076376.
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Familia Mkoani Singida yamtabiria mtoto wao kuwa Rais mwaka 2050!
Mzee Nassoro Salum, akiwa mitaani jana na mtoto wake Yusuph ambaye amedai anamjengea mazingira mazuri kuja kuwa Rais wa Tanzania ifikapo mwaka 2050.
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKATI Watanzania na dunia nzima leo imeshuhudia kuapishwa kwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli, familia moja mkoani Singida, imeanzisha rasmi safari ya kumwandaa mtoto wao wa kiume mwenye umri wa mwaka moja na miezi nane, kuja kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2050.
Mtoto huyo...
10 years ago
Dewji Blog25 Feb
Mtoto wa mwaka mmoja afungiwa ndani kwa miezi sita huku akiteswa na kula magodoro Dar
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura.
Katika kile kinachoelezwa kitendo cha kikatili, dhidi ya watoto kushamiri, Mtoto wa mwaka mmoja na miezi sita (jina limehifadhiwa ),anadaiwa kuteswa na mama yake mzazi kwa kipindi cha miezi kumi akiwa amefungiwa ndani huku akila magodoro baada ya kubainika na majirani.
Kwa mujibu wa taarifa ya Neema Brian wa mtandao wa http://sautiyamnyonge.com alibainisha kuwa, Mtoto huyo ambaye amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala, ambaye...
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Majambazi waua mmoja, wapora