MTOTO MWAKA MMOJA ATELEKEZWA, OFM YAMUOKOA
![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8UjAaansOwysHrvPgp4YySotBfqb908hNnCJL95AYeFU2udJM47RyF00VjV0JmvZOfOPxvvvnEdDidGVyVpRu0/TOT0OO.jpg)
Stori: WAADISHI WETU VITUKO uswahilini! Mtoto wa mwenye umri umri wa mwaka mmoja ambaye jina halikufahamika ameokolewa na Oparesheni Fichua Maovu ya Global Publishers baada ya kudaiwa kutelekezwa kwa siku nzima na mama yake mzazi, Mama Sofia. Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja aliyetelekezwa na mama yake. Tukio hilo la aina yake lilijiri Juni wikiendi iliyopita maeneo ya Somanga-Magomeni, Dar ambapo kwa mujibu wa wasamaria wema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz61mtUTz9nD1KEnSjyJcN5-XP71nTWmkMQWKBqdImnp28FrxBbHG1U*YlvRqtMCB9ylOJUvJcMylsToEEssBdg52/flora.jpg)
FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXCiHu78EKtaS8LMjlA5eFg*mMIMZpfdlVTa0LKWg4qGmMkjXXksS3g3oMO9*Ab5waLTUJLfotvJ0E-AHRNtOaT/mtoto.jpg)
MTOTO MWAKA MMOJA ABAKWA
10 years ago
Dewji Blog11 Jan
MTUKURU waua mtoto wa mwaka mmoja Singida
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
POLISI mkoani Singida inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mtoto wa mwaka mmoja na mama mtoto kulazwa baada ya kunywa pombe ya ‘Mtukuru’ nyumbani kwa mtuhumiwa.
Kamanda wa polisi mkoa, Thobias Sedoyeka alimtaja mwanamke anayeshikiliwa kuwa ni Anastazia Kadama (35) mkazi wa kijiji cha Msule, Misughaa wilayani Ikungi...
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Mtoto atelekezwa nyumba ya kulala wageni
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mtoto wa mwaka mmoja afariki dunia baada ya kutumbukia Kisimani Mbeya
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.
Na Emanuel Madafa, Mbeya
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba Promis Dank mkazi wa bwawani wilaya ya Chunya amefariki dunia njiani akiwa anapelekwa hospitali baada ya kutumbukia kisimani.
Tukio hilo limetokea Novemba 112 majira ya saa 12 asubuhi huko kitongoji cha Railway, kata ya Bwawani, wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya.
Inadaiwa kuwa, mtoto huyo baada ya kutumbukia kwenye kisima hicho ambacho kilikuwa wazi, aliokolewa akiwa hai...
10 years ago
Dewji Blog15 Apr
Breaking Newsss!!! Mtoto wa mwaka mmoja na nusu aanguka gorofa ya 5 flati za Mwenge Magorofani
Katika hali hisiyo ya kawaida, mtoto mmoja ambaye jina lake halijafahaamika ameanguka mchana wa leo kutoka juu ya jengo la gorofa, gorofa ya tano, huko maeneo ya kota za jeshi, Mwenge Magorofani..
Kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wameelea kuwa, mtoto huyo hadi sasa ameumia vibaya sehemu za kichwani na kutoka damu nyingi, ambapo awali alikimbizwa hospitali ya Lugalo na baadae amepelekwa Muhimbili.
kwa taarifa zaidi zitaendelea kuwajia hivi punde.
0719076376.
10 years ago
Dewji Blog25 Feb
Mtoto wa mwaka mmoja afungiwa ndani kwa miezi sita huku akiteswa na kula magodoro Dar
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura.
Katika kile kinachoelezwa kitendo cha kikatili, dhidi ya watoto kushamiri, Mtoto wa mwaka mmoja na miezi sita (jina limehifadhiwa ),anadaiwa kuteswa na mama yake mzazi kwa kipindi cha miezi kumi akiwa amefungiwa ndani huku akila magodoro baada ya kubainika na majirani.
Kwa mujibu wa taarifa ya Neema Brian wa mtandao wa http://sautiyamnyonge.com alibainisha kuwa, Mtoto huyo ambaye amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala, ambaye...
11 years ago
GPL20 Mar
OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI