Mtoto atelekezwa nyumba ya kulala wageni
 Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa wiki moja, amekutwa ametelekezwa kwenye nyumba ya kulala wageni ya Tupendaene iliyopo Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, mkoani hapa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yvGT6qZibcc/VJK9itUUm0I/AAAAAAAG4Ho/wwRgsfVKkjU/s72-c/unnamed%2B(58).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-AMMV7b4zWQM/UvyKszgDscI/AAAAAAAFMwM/-D0rJf9WnKA/s72-c/d1.jpg)
KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA DAVID MISIME - SACP AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WAMILIKI WA HOTELI NA NYUMBA ZA KULALA WAGENI MKOANI DODOMA
Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME (SACP) amewataka wamiliki wa Hotel na Nyumba za kulala wageni (Guest House) kuhakikisha kwamba wageni wanaotarajia kuingia mkoani humo ambao ni wajumbe wa bunge la Katiba linalotarajia kuanza tarehe 18/02/2014 wanakuwa salama katika kipindi hiki.
Amesema hayo katika ukumbi wa Dodoma Hotel alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara ambao ni wamiliki wa Hotel...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8UjAaansOwysHrvPgp4YySotBfqb908hNnCJL95AYeFU2udJM47RyF00VjV0JmvZOfOPxvvvnEdDidGVyVpRu0/TOT0OO.jpg)
MTOTO MWAKA MMOJA ATELEKEZWA, OFM YAMUOKOA
Stori: WAADISHI WETU VITUKO uswahilini! Mtoto wa mwenye umri umri wa mwaka mmoja ambaye jina halikufahamika ameokolewa na Oparesheni Fichua Maovu ya Global Publishers baada ya kudaiwa kutelekezwa kwa siku nzima na mama yake mzazi, Mama Sofia. Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja aliyetelekezwa na mama yake. Tukio hilo la aina yake lilijiri Juni wikiendi iliyopita maeneo ya Somanga-Magomeni, Dar ambapo kwa mujibu wa wasamaria wema...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Padri afia nyumba ya wageni
>Kiongozi wa Kanisa amekutwa akiwa amefariki dunia kwenye nyumba ya kulala wageni jijini Nairobi na kufanya vifo vya kutatanisha vya viongozi wa kidini kufikia wawili wiki hii.
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Fundi afia nyumba ya wageni
Fundi radio maarufu mjini Singida, Daniel Mosha (50), amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa mjini hapa, baada ya kuugua ghafla akiwa amelala katika nyumba ya kulala wageni na rafiki yake wa kike.
11 years ago
Habarileo14 Dec
Polisi wanasa bastola nyumba ya wageni
JESHI la Polisi wilayani Igunga mkoani Tabora limefanikiwa kukamata bastola katika nyumba ya kulala wageni ambayo inadhaniwa imesahaulika na majambazi.
11 years ago
Mwananchi21 May
Nundu: Vigogo serikalini walipewa nyumba na wageni
Waziri wa zamani wa Uchukuzi, Omar Nundu jana aliikalia kooni Serikali kwa kuwakumbatia wageni na kuibua madai kuwa baadhi ya vigogo wa Serikali walipewa nyumba wakati wa kubinafsisha viwanda nchini.
11 years ago
GPL![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/04/zawadi-1.jpeg?width=650)
HARUSI YA MTOTO WA RAIS WA NIGERIA, WAGENI WAALIKWA WAPEWA IPHONE 5 KILAMMOJA
Hizi ni zawadi za iPhone 5 ‘Gold plated customized’ walizopewa wageni waalikwa.
Juu ya maboksi yaliyokuwa na zawadi ya simu hizo pameandikwa ‘Leeberry and her Prince wish you all the best for making our day beautifull. Thanx for coming and God Bless you’
Maharusi Faith (katikati) na Godswill (kushoto) wakiwa na Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan.…
...
10 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF WATOA SEMINA MAALUM KWA WAMILIKI WA HOTELI NA NYUMBA ZA WAGENI (GUEST HOUSES) MKOANI DODOMA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania