MTOTO MWAKA MMOJA ABAKWA

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha USIPOSTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni, ni kweli kabisa! Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja tunayemtaja kwa jina moja la Devota wa Sokoni One jijini hapa, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru kufuatia kubakwa na njemba moja iitwayo Rajabu Mkoba (30), mkazi wa eneo hilo. Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja ayetajwa kwa jina moja la Devota wa Sokoni One jijini Arusha akiwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA
10 years ago
Dewji Blog11 Jan
MTUKURU waua mtoto wa mwaka mmoja Singida
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
POLISI mkoani Singida inamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma ya kusababisha kifo cha mtoto wa mwaka mmoja na mama mtoto kulazwa baada ya kunywa pombe ya ‘Mtukuru’ nyumbani kwa mtuhumiwa.
Kamanda wa polisi mkoa, Thobias Sedoyeka alimtaja mwanamke anayeshikiliwa kuwa ni Anastazia Kadama (35) mkazi wa kijiji cha Msule, Misughaa wilayani Ikungi...
11 years ago
GPL
MTOTO MWAKA MMOJA ATELEKEZWA, OFM YAMUOKOA
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mtoto wa mwaka mmoja afariki dunia baada ya kutumbukia Kisimani Mbeya
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.
Na Emanuel Madafa, Mbeya
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba Promis Dank mkazi wa bwawani wilaya ya Chunya amefariki dunia njiani akiwa anapelekwa hospitali baada ya kutumbukia kisimani.
Tukio hilo limetokea Novemba 112 majira ya saa 12 asubuhi huko kitongoji cha Railway, kata ya Bwawani, wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya.
Inadaiwa kuwa, mtoto huyo baada ya kutumbukia kwenye kisima hicho ambacho kilikuwa wazi, aliokolewa akiwa hai...
10 years ago
Dewji Blog15 Apr
Breaking Newsss!!! Mtoto wa mwaka mmoja na nusu aanguka gorofa ya 5 flati za Mwenge Magorofani
Katika hali hisiyo ya kawaida, mtoto mmoja ambaye jina lake halijafahaamika ameanguka mchana wa leo kutoka juu ya jengo la gorofa, gorofa ya tano, huko maeneo ya kota za jeshi, Mwenge Magorofani..
Kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wameelea kuwa, mtoto huyo hadi sasa ameumia vibaya sehemu za kichwani na kutoka damu nyingi, ambapo awali alikimbizwa hospitali ya Lugalo na baadae amepelekwa Muhimbili.
kwa taarifa zaidi zitaendelea kuwajia hivi punde.
0719076376.
10 years ago
Dewji Blog25 Feb
Mtoto wa mwaka mmoja afungiwa ndani kwa miezi sita huku akiteswa na kula magodoro Dar
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura.
Katika kile kinachoelezwa kitendo cha kikatili, dhidi ya watoto kushamiri, Mtoto wa mwaka mmoja na miezi sita (jina limehifadhiwa ),anadaiwa kuteswa na mama yake mzazi kwa kipindi cha miezi kumi akiwa amefungiwa ndani huku akila magodoro baada ya kubainika na majirani.
Kwa mujibu wa taarifa ya Neema Brian wa mtandao wa http://sautiyamnyonge.com alibainisha kuwa, Mtoto huyo ambaye amelazwa katika hospitali ya Mwananyamala, ambaye...
11 years ago
Michuzi.jpg)
MTU MMOJA ABAKWA,ANYONGWA KISHA ATUPWA KICHAKANI HUKO MKURANGA
.jpg)
MKAZI wa Kijiji cha Bupu kata ya Bupu Tarafa ya Mkamba wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani Forodesi Ntabegera (30) ameuwawa kwa kubakwa kisha kunyongwa na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa kichakani.
Kwa mujibu wa taarifa ziliotolewa na kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo Mrakibu Msaidizi wa Polisi (SSP) Athuman Mwambalaswa Marehemu kuwa marehemu alinyongwa na watu hao kwa kutumia kitenge chake alichokuwa amekivaa.
Kamanda...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Mtoto abakwa, anyongwa
MWANAFUNZI wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Kalangalala mjini hapa (jina limehifadhiwa), anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka nane, amebakwa na kunyongwa usiku wa kuamkia jana nyumbani kwao...