Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCCL wazindua teknolojia ya 4G – LTE

Kampuni ya Simu ya TTCL, imezindua teknolijia mpya ya 4G-LTE, inayotarajiwa kuchochea mapinduzi ya upatikanaji wa huduma za data na kuongeza mchango kwenye pato ghafi la taifa kwa asilimia 5 hadi 6, tofauti na sasa ambapo mchango wake ni kati ya asilimia 1.4 hadi 2.

Huduma hiyo ya 4G-LTE, inayozinduliwa na TTCL itaongeza kasi na ufanisi kwenye huduma za internet ambazo kwa sasa zinatolewa pia na kampuni nyingine za simu za mkononi.

 Uzinduzi wa huduma hii unakuja wakati ambapo soko la huduma...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TTCL Yazindua Teknolojia ya 4G LTE

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) na Ofisa Ufundi (IT) wa kampuni hiyo, Rehema Maswanya (kulia) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE iliyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa teknolojia ya 4G LTE inayotolewa na kampuni hiyo. Kushoto ni...

 

10 years ago

GPL

TIGO WAZINDUA HUDUMA MPYA YA INTERNET YA 4G LTE

Wasanii wa vichekesho Bongo, Musa Kitale 'Mkude Simba' na Stan Bakola wakiingia katika ukumbi wa uzinduzi huo wa 4G LTE baada ya kupata maelekezo ya awali kutoka kwa wafanyakazi wa Tigo. Wasanii wa vichekesho Bongo, Musa Kitale 'Mkude Simba' na Stan Bakola wakiingia katika ukumbi wa uzinduzi huo…

 

10 years ago

Habarileo

Teknolojia mpya 4G LTE yaingia Jijini

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame MbarawaWAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali inashirikiana na sekta binafsi, ikiwa ni pamoja na kampuni za simu za mkononi kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama).

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCCL kunua umeme wa MVA 40 Tanesco

KAMPUNI ya Saruji Tanga (TCCL), imeingia makubalino ya kununua umeme wa kiwango cha MVA 40 na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kituo cha Pongwe, jijini Tanga. Akizungumza wakati wa kusaini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanahisa TCCL kupata gawio bil. 7/-

KAMPUNI ya Saruji ya Tanga (TCCL) kupitia bodi yake Wakurugenzi imeidhinisha gawio la hisa la sh bilioni 7 kwa wanahisa wake baada ya kupata faida ya sh bilioni 32.4 kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

TTCL kuzindua Huduma ya 4G LTE kesho

hqdefault

Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inazindua rasmi teknolojia ya Long Term Evolution (LTE) inayojulikana kwa jina la mtandao wa 4G. Awamu ya kwanza inayoanza leo siku ya uzinduzi itatoa huduma katika maeneo 11 Jijini Dar es salaam.

Maeneo hayo ni pamoja na  Uwanja wa Ndege wa Mwl J.K. Nyerere, Pugu Road, Posta Mpya, Upanga, Kinondoni, Ubungo, Oysterbay, Mwenge, Mbezi Tangibovu,  Mbezi Exchange, Kunduchi Salasala na Wazo Tegeta.  Awamu pili itakuwa kupeleka mawasiliano hayo katika maeneo...

 

9 years ago

Mwananchi

Huduma ya 4G LTE yapiga hodi mikoa mitano

Kampuni ya Smile Communications Tanzania, imetangaza kupanua huduma ya mtandao wake wa intaneti ya 4G LTE katika mikoa ya Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Dodoma na Morogoro, ili kuleta mapinduzi katika utoaji wa huduma ya intaneti yenye kasi katika maeneo mengi zaidi nchini.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yafikisha upatikanaji wa huduma ya 4G LTE Dodoma

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kaskazini akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa huduma ya 4G LTE jijini Dodoma, kushoto ni Meneja wa huduma ya 4G LTE, Benedict Mponzi.

Mkurugenzi wa kanda ya Kaskazini kutoka Tigo Bw.George Lugata akimkabidhi Bw.Danson Kaijage kushoto laini mpya ya 4G LTE katika uzinduzi wa huduma ya 4G LTE, katikati ni Territory Meneja wa Dodoma, Singida na Kondoa Bw.Innocent Anthony kutoka Tigo jijini Dodoma.

-Ni baada ya kuanza kutoa huduma...

 

10 years ago

Michuzi

Tigo yazindua 4G LTE ya internet jijini Dar leo

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa akihutubia hivi sasa kwenye uzinduzi wa 4G LTE ya internet inayozinduliwa leo na Kampuni ya Simu za Mikononi ya Tigo, katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani