TCCL kunua umeme wa MVA 40 Tanesco
KAMPUNI ya Saruji Tanga (TCCL), imeingia makubalino ya kununua umeme wa kiwango cha MVA 40 na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kituo cha Pongwe, jijini Tanga. Akizungumza wakati wa kusaini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tanesco yapandisha bei ya umeme
10 years ago
Habarileo22 Mar
Mitambo ya umeme ‘yaitafuna’ Tanesco
MITAMBO ya kufua umeme inayotumia mafuta kwa ajili ya kufua umeme nchini, imetajwa kuwa kikwazo katika maendeleo ya Taifa, kutokana na kutumia rasilimali fedha za kigeni nyingi katika kuzalisha nishati hiyo nchini, ambayo ingeweza kutumika katika maendeleo.
10 years ago
Habarileo26 Aug
Tanesco yakataa umeme wa bei kubwa
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limekataa mkataba wa kununua umeme wa makaa ya mawe kwa gharama kubwa kutoka Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), kwa kuwa utavuruga mpango wao wa kupunguza gharama ya umeme kwa wananchi.
9 years ago
Habarileo07 Dec
TPC yaidai Tanesco bilioni 2.9 za umeme
KIWANDA cha Uzalishaji Sukari (TPC) Ltd cha Moshi mkoani Kilimanjaro kinalidai Shirika la Umeme nchini (Tanesco) zaidi ya Sh bilioni 2.9 kama fedha za kuwauzia umeme unaozalishwa hapo na kuingizwa katika Gridi ya Taifa.
9 years ago
Mtanzania21 Dec
TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo
NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati 42.
Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake ya siku moja mkoani hapa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema shirika hilo limeshindwa na halina uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 45 zinazohitajika kwa uzalishaji kiwandani hapo.
“TANESCO wamekuwa...
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Vyura wapunguza uzalishaji umeme wa Tanesco
11 years ago
Habarileo11 Aug
Tanesco yatambulisha kifaa cha umeme
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme (Tanesco) mkoani hapa limetambulisha kifaa kipya ambacho ni mbadala wa kutandaza nyaya za umeme kwa maandalizi ya kupata umeme wa shirika hilo kwa wafugaji wa kuku pamoja na wananchi wanaojenga chumba kimoja ama viwili.
9 years ago
Habarileo20 Dec
Tanesco yaeleza sababu za kukatika umeme
SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limesema tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara hasa nyakati za jioni katika maeneo ya Mbagala, Mtoni Kijichi na Yombo kutokana na mifumo ya umeme katika maeneo hayo kuzidiwa jambo ambalo wameanza kulishughulikia.