TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo
NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati 42.
Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake ya siku moja mkoani hapa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema shirika hilo limeshindwa na halina uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 45 zinazohitajika kwa uzalishaji kiwandani hapo.
“TANESCO wamekuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTANESCO KUONDOLEWA KATIKA UZALISHAJI UMEME, WIND EA KUANZA KUZALISHA MWISHONI 2017.
9 years ago
StarTV18 Dec
Muhongo awataka wakurugenzi TANESCO kusimamia Utoaji Huduma Ya Umeme
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amewataka wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO wa Kanda, Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia na kutoa huduma bora za umeme ili kukomesha mgao wa Umeme unaoendelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.
Waziri Muhongo amesema changamoto kubwa iliyopo katika shughuli nzima ya utoaji huduma za umeme ni pamoja na kuwepo kwa uhaba wa maji unaosababishwa na shughuli za kibinaadamu kwenye vyanzo vya maji.
Amewataka maafisa hao kutoa elimu...
9 years ago
Vijimambo16 Sep
Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Tanesco-16Sept2015.png)
Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
11 years ago
Mwananchi24 Feb
TPCC kuanza kuzalisha umeme wake
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Kidatu inaweza kuzalisha umeme bado
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mitambo ya kuzalisha umeme katika bwawa la Kidatu, mkoani Morogoro mwaka 2011.Kushoto ni meneja wa TANESCO wa mkoa na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera.
Na Mwandishi wetu
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), limesema Mgodi wa wa kufua umeme, uliojengwa Kidatu, Morogoro 1975, bado zinauwezo wa kuzalisha nishati hiyo kwa kiwango cha kutosha.
Kauli hiyo ilitolewa, Meneja wa Mgodi huo Injinia Joseph Lyaruu, wakati ziara ya wandishi wa...
10 years ago
Habarileo08 Jun
Serikali yaongeza mitambo ya kuzalisha umeme
KUTOKANA na kukua kwa kasi ya mahitaji ya umeme, Serikali imeamua kuongeza mitambo mingine ya kuzalisha umeme kwa kiasi cha megawati 185 katika Mradi wa Kinyerezi I uliopo jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi18 Oct
ACT waahidi kuzalisha umeme wa upepo
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Muhongo akemea rushwa Tanesco