Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPCC kuanza kuzalisha umeme wake

Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), ina mpango wa kujenga uwezo wa kuzalisha umeme wake ili kupunguza au kuondoa tatizo la nishati hiyo wakati wa uzalishaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TANESCO KUONDOLEWA KATIKA UZALISHAJI UMEME, WIND EA KUANZA KUZALISHA MWISHONI 2017.

 Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli Mhandisi, Hosea Mbise akizungumza katika mkutano wa tatu wa wawekezaji na wadau wa nishati ya umeme ujulikanao kwa jina la  Powering Africa uliodhaminiwa na kampuni ya Wind East Africa. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya Wind East Africa John Chaggama akifafanua jambo kuhusiana na uwekezaji wao wa Umeme wa Upepo uliopo mkoani Singida. Chaggama alisema mradi huo utatatua tatizo la nishati hiyo hapa nchini mara utakapoanza rasmi...

 

9 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kidatu inaweza kuzalisha umeme bado

download-11

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mitambo ya kuzalisha umeme katika bwawa la Kidatu, mkoani Morogoro mwaka 2011.Kushoto ni meneja wa TANESCO wa mkoa na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera.

Na Mwandishi wetu

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), limesema Mgodi wa wa kufua umeme, uliojengwa Kidatu, Morogoro 1975, bado zinauwezo wa kuzalisha nishati hiyo kwa kiwango cha kutosha.

Kauli hiyo ilitolewa, Meneja wa Mgodi huo Injinia Joseph Lyaruu, wakati ziara ya wandishi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaongeza mitambo ya kuzalisha umeme

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneKUTOKANA na kukua kwa kasi ya mahitaji ya umeme, Serikali imeamua kuongeza mitambo mingine ya kuzalisha umeme kwa kiasi cha megawati 185 katika Mradi wa Kinyerezi I uliopo jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT waahidi kuzalisha umeme wa upepo

Mgombea urais wa ACT- Wazalendo Anna Mghwira, ameahidi kuutumia upepo wa Mkoa wa Singida kuzalisha umeme wa uhakika.

 

9 years ago

Mtanzania

TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo

muhongo_clipNA FLORENCE SANAWA, MTWARA

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati 42.

Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake ya siku moja mkoani hapa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema shirika hilo limeshindwa na halina uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 45 zinazohitajika kwa uzalishaji kiwandani hapo.

“TANESCO wamekuwa...

 

9 years ago

Habarileo

Mabwawa Vingunguti kuanza kuzalisha gesi

WAKAZI wa Mtaa wa Mjimpya, kata ya Vingunguti, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wako mbioni kuanza kunufaika na mradi wa uzalishaji wa gesi inayotokana na majitaka ya vyoo vyao na yale ya yaliyo katika mabwawa makubwa ya kuhifadhia maji taka yaliyo katika eneo hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Joto ardhi kuzalisha megawati 5000 za umeme

Kupatikana kwa joto ardhi kwenye maeneo ya pembezoni mwa Bonde la Ufa, ni ugunduzi unaoelezwa kuwa chanzo tajiri cha nishati ambayo haijaanza kuvunwa nchini.

 

10 years ago

Michuzi

DC MUFINDI ATEMBELEA MRADI WA YA KUZALISHA UMEME -KIHANSI

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi,Mhe. Mboni Mhita (Kushoto) akiwa ameambatana na watendaji wengine amefanya ziara ya kutembelea mradi wa Kihansi unaotoa huduma ya kuzalisha Umeme,Kushoto ni Mhandisi wa Kihansi akitoa maelezo juu ya shughuli za uzalishaji wa Umeme.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani