Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabwawa Vingunguti kuanza kuzalisha gesi

WAKAZI wa Mtaa wa Mjimpya, kata ya Vingunguti, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wako mbioni kuanza kunufaika na mradi wa uzalishaji wa gesi inayotokana na majitaka ya vyoo vyao na yale ya yaliyo katika mabwawa makubwa ya kuhifadhia maji taka yaliyo katika eneo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MABWAWA YA MAJI TAKA ENEO LA VINGUNGUTI KUANZA KUZALISHA GESI.

 Mratibu wa Mradi wa kuzalisha gesi ambaye pia ni mwanafunzi wa mwaka wa 4 katika fani ya Uhandisi wa Mazingira, Chuo Kikuu cha Ardhi John Rutahirwa Akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu moja ya mtambo wa kukusanyia maji taka kutoka majumbani eneo la mradi wa kuzalisha gesi Vingunguti.Gesi hiyo itaanza kutumika mwezi Desemba mwaka huu. Jumanne Saidi Fundi ujenzi wa vyoo na msimamizi wa mradi wa majaribio wa Biogasi Vingunguti akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu...

 

9 years ago

Vijimambo

MABWAWA YA MAJI TAKA ENEO LA VINGUNGUTI KUANZA KUZALISHA GESI

Mratibu wa Mradi wa kuzalisha gesi ambaye pia ni mwanafunzi wa mwaka wa 4 katika fani ya Uhandisi wa Mazingira, Chuo Kikuu cha Ardhi John Rutahirwa Akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu moja ya mtambo wa kukusanyia maji taka kutoka majumbani eneo la mradi wa kuzalisha gesi Vingunguti.Gesi hiyo itaanza kutumika mwezi Desemba mwaka huu.Mtaalam anayehusika na ujenzi, mafunzo na usimamizi wa mfumo wa mradi wa kuzalisha Gesi Vingunguti ambaye pia ni mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada...

 

9 years ago

Michuzi

WATAALAMU WATEMBELEA VYANZO VYA MAJI YA MABWAWA YA KUZALISHA UMEME

Timu ya wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Madini,Wizara ya kilimo, mifugo na Uvuvi ,Wizara ya maji, na Umwagiliaji , Shirika l Umeme Tanzania (Tanesco) pamoja na Watalamu wa bonde la Mto Rufiji wametembelea vyanzo vya maji vinavyotiririsha maji katika mito inayomwaga maji kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme wa maji ikiwemo Mtera, Kihansi na Kidatu ili kuunganisha nguvu ya pamoja na kurejesha vyanzo hivyo katika hali yake ya awali kutokana na kuathiriwa na shughuli za kibinadamu na hivyo...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA WATAALAM KUTOKA WIZARA TATU ZATEMBELEA VYANZO VYA MAJI YA MABWAWA YA KUZALISHA UMEME

Baadhi ya wajumbe wa Timu ya kutoka Wizara ya Nishati na Madini,Wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi ,Wizara ya maji, na umwagiliaji , Shirika l Umeme Tanzania (Tanesco )pamoja na Watalamu wa bonde la mto Rufiji wakipata maelezo ya namna ambavyo umeme wa maji huzalishwa katika kituo cha Kihansi .
Timu ya wataalam  kutoka Wizara ya Nishati na Madini,Wizara ya kilimo, mifugo na Uvuvi ,Wizara ya maji, na Umwagiliaji , Shirika l Umeme Tanzania (Tanesco ) pamoja na Watalamu wa bonde la mto...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA TATU ZASHAURIWA KUSHIRIKIANA KUMALIZA TATIZO LA KUKAUKA NA KUPUNGU KWA MAJI MABWAWA YA KUZALISHA UMEME NCHINI

Picha za mitambo ya kuzalisha umeme na  wadau wa maji waliotembelea maeneo ya mito na kugundua baadhi ya njia za asili za  mito inayomwaga maji yake kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme imezibwa.  kitendo hicho kinadaiwa kuathiri utiririshaji wa maji katika mabwawa ya kuzalisha umeme.
 pia wadau hao wameshauri taasisi zote ikiwemo wizara ya nishati na madini,wizara ya kilimo , mifugo na uvuvi, wizara ya maji na umwagiliaji pamoja na bonde la mto Rufiji  zinazotumia rasilimali maji katika...

 

10 years ago

Mwananchi

BG: Itachukua muda kuzalisha gesi nchini

Shirika la Gesi la Uingereza (BG) limesema itachukua muda kuanza kuzalisha gesi kwa matumizi ya ndani na kuiuza nje ya nchi kutokana na rasilimali hiyo kugundulika katika maeneo yenye changamoto lukuki.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAZINGIRA MRADI WA MACHINJIO YA VINGUNGUTI NA ENEO LA KINYEREZI LINALOPITA BOMBA LA GESI.


Waziriwa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiwaonyesha wanahabari (Hawapo pichani) bomba la Gesi ya Songas liloangukiwa na mawe kutokana na athari za uchimbaji mchanga katika eneo hilo. Picha Charles Kombe.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu (Kulia) akiambatana na Meya wa Manispaa ya Ilala Omari Kumbilamoto (wa pili kushoto) askari wa Ulinzi na viongozi wa ngazi mbalimbali za kiserikali alipofanya ziara...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA HAFLA YA UCHANGISHAJI FEDHA KWA AJILI YA UHIFADHI WA VYANZO VYA MAJI KATIKA MABWAWA YA KUZALISHA UMEME YA MTERA, KIHANSI, KIDATU, NYUMBA YA MUNGU NA PANGANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Uchangishaji fedha kwa Uhifadhi wa vyanzo vya maji katika Mabwawa ya kuzalisha Umeme ya Mtera, Kihansi, Kidatu, Nyumba ya Mungu na Pangani. Hafla hiyo ilifanyika jana usiku Sept 28, 2015 kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mwenyekiti wa Mabibo Beer, Wines & Spirits na...

 

11 years ago

Mwananchi

TPCC kuanza kuzalisha umeme wake

Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), ina mpango wa kujenga uwezo wa kuzalisha umeme wake ili kupunguza au kuondoa tatizo la nishati hiyo wakati wa uzalishaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani