Muhongo awataka wakurugenzi TANESCO kusimamia Utoaji Huduma Ya Umeme
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amewataka wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO wa Kanda, Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia na kutoa huduma bora za umeme ili kukomesha mgao wa Umeme unaoendelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.
Waziri Muhongo amesema changamoto kubwa iliyopo katika shughuli nzima ya utoaji huduma za umeme ni pamoja na kuwepo kwa uhaba wa maji unaosababishwa na shughuli za kibinaadamu kwenye vyanzo vya maji.
Amewataka maafisa hao kutoa elimu...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TYI_-2I1G1U/VbiQ8ALedMI/AAAAAAAHsbw/PkCvCvxtROc/s72-c/_MG_1131.jpg)
TANESCO IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA YA UTOAJI WA HUDUMA YA UMEME NCHINI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 10 -MHANDISI MRAMBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-TYI_-2I1G1U/VbiQ8ALedMI/AAAAAAAHsbw/PkCvCvxtROc/s640/_MG_1131.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GPMVNxH70Vc/VbiRMMNFGLI/AAAAAAAHsb4/0leXLRBS5cE/s1600/_MG_1137.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limesema kuwa limepata mafanikio katika kipindi cha miaka...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo
NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati 42.
Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake ya siku moja mkoani hapa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema shirika hilo limeshindwa na halina uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 45 zinazohitajika kwa uzalishaji kiwandani hapo.
“TANESCO wamekuwa...
9 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO ATEMA CHECHE, Awataka TANESCO kufanya kazi
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
9 years ago
StarTV01 Dec
Wakurugenzi,wenyeviti watakiwa kusimamia mashirika ya umma Ili kuliingizia taifa faida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Magufuli amewaagiza wakurugenzi na wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma nchini kuhakikisha taasisi na kampuni wanazosimamia zinazalisha.
Agizo hilo limetolewa na Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru kwenye mkutano wa wakurugenzi na watendaji wakuu wa taasisi na mashirika ya umma .
Agizo la serikali limezilenga taasisi zake kuhakikisha zinajiendesha kwa faida na kuliingizia taifa faida ili kuendelea kutoa huduma kwa jamii kwa mashirika ya...
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Maalim seif awataka JK na Shein Kusimamia amani
10 years ago
Habarileo02 Oct
Mahakama Kuu yazuia Tanesco kusimamia mitambo Tegeta
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeamuru Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong na Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (Tanesco) kutoingilia umiliki, usimamizi na utawala wa Mitambo ya ufuaji umeme iliyopo Tegeta, Dar es Salaam hadi hapo uamuzi wa mwisho wa kesi yao ya msingi utakapotolewa.
9 years ago
MichuziProfesa Muhongo aibana TANESCO
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe limekamilisha kufunga umeme kwenye Jengo la Ofisi za Serikali la Mpakani mwa Tanzania na Rwanda (One Stop Border post) lililopo eneo la Rusumo wilayani Ngara.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye Mpaka wa Tanzania na Rwanda kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa...