Maalim seif awataka JK na Shein Kusimamia amani
Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amemuomba Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein kubeba dhamana ya uongozi katika siku hizi chache zilizobaki za uongozi wao kwa kusimamia katiba na sheria za nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Dec
Maalim Seif awataka wabunge kutatua kero
WABUNGE na Wawakilishi wametakiwa kuzipatia ufumbuzi kero na matatizo yanayowakabili wananchi katika majimbo ya uchaguzi kwa lengo la kuleta maendeleo.
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Maalim Seif awataka Wazanzibari wasikubali kuvurugwa, watulie
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Ni Shein na Maalim Seif
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Maalim awataka Dk Shein, Balozi Idd wadhibiti vurugu
11 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Maalim Seif awavaa JK, Dk. Shein
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amewataka Rais Jakaya Kikwete na Dk. Ali Mohamed Shein wasikubali kudanganywa na vigogo waliosimamia Bunge Maalum la Katiba (BMK)....
11 years ago
Mwananchi29 Oct
Pambano la Dk Shein, Maalim Seif limeshaanza
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Zanzibar:Shein akutana na Maalim Seif
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Dk. Shein avutana na Maalim Seif Zanzibar
Na Esther Mbussi, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Alisema kauli inayozungumzwa na wapinzani kwamba chama hicho kimekuwa kikiiba kura katika uchaguzi ni kauli za ghiliba na vitisho ambazo hazipaswi kutolewa na kiongozi aliyebobea.
Rais huyo wa Zanzibar pia alisema hakuna sababu za msingi za kuifanyia mabadiliko Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikiwamo kuwaondoa watendaji...
10 years ago
Habarileo25 Aug
Shein rasmi kumvaa Maalim Seif
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amechukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar, akiomba ridhaa kwa wananchi aweze kuongoza katika kipindi kingine cha miaka mitano, ambapo sasa atapambana na mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad.