Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif awataka Wazanzibari wasikubali kuvurugwa, watulie

“Kazi tayari tupe kinuramgongo”, yaani “kazi imekwisha tupe malipo”, ni wimbo uliotawala mkutano kati ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad na wajumbe wa kamati za utendaji za wilaya na majimbo, mkutano mkuu na wafuasi wa chama hicho Kisiwani Pemba jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif: Tumaini la Wazanzibari

Maalim Seif Changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi wa Zanzibar na jinsi Chama Cha Wananchi CUF chini ya uongozi wa Maalim Seif Sharif Hamad walivyojipanga kuzitatua changamoto hizo endapo watapata ridhaa ya kuwaongoza wananchi wa Zanzibar.

The post Maalim Seif: Tumaini la Wazanzibari appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Wazanzibari nichagueni mnufaike na Muungano

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad (pichani), amesema iwapo atachaguliwa atahakikisha wananchi wa Tanzania Bara na Visiwani wananufaika na Muungano.

 

11 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Wazanzibari wanataka mamlaka kamili

>Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Wazanzibar wanaisubiri kwa hamu Rasimu ya Katiba ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ili kuona kama imezingatia masilahi na matakwa yao katika kupata mamlaka kamili ya Zanzibar.

 

11 years ago

Habarileo

Wadai Maalim Seif hana idhini kuwasemea Wazanzibari

Maalim Seif Sharif HamadJUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imedai kwamba Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad hana idhini ya kuwasemea Wazanzibari kuwa wanataka Muungano wa aina gani.

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii wawataka Wazanzibari watulie

TAFUTA YA AT, baby-JNA CHRISTOPHER MSEKENA

WASANII mbalimbali waliopo visiwani Zanzibar wameonyesha kuguswa na hali ya Zanzibar, huku wakiwataka mashabiki wao wanaoishi visiwani humo wawe watulivu kipindi hiki cha mgogoro wa kisiasa visiwani humo.

Wasanii hao waliliambia MTANZANIA kwa nyakati tofauti kwamba wameguswa na mgogoro huo, hivyo mashabiki wao hawatakiwi kuwa na papara kwa kuwa mgogoro huo unafanyiwa kazi na utapatiwa ufumbuzi.

Msanii Ally Ramadhan ‘AT’ alisema nchi nyingi huwa zinaingia kwenye...

 

10 years ago

Habarileo

Maalim Seif awataka wabunge kutatua kero

Maalim Seif Sharif HamadWABUNGE na Wawakilishi wametakiwa kuzipatia ufumbuzi kero na matatizo yanayowakabili wananchi katika majimbo ya uchaguzi kwa lengo la kuleta maendeleo.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim seif awataka JK na Shein Kusimamia amani

Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amemuomba Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein kubeba dhamana ya uongozi katika siku hizi chache zilizobaki za uongozi wao kwa kusimamia katiba na sheria za nchi.

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif awataka WanaCUF kutovunjika moyo na matokeo ya uchaguzi mdogo jimbo la Kiembesamak

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akifungua mkutano wa viongozi wa matawi, majimbo na Wilaya kwa Wilaya za Wete na Micheweni uliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Na Khamis Haji , OMKR Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho wasivunjike moyo na matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kiembesamaki na badala yake waendelee na juhudi za kukiimarisha chama, ili kiweze kukamata...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE APATA WADHAMINI KIGOMA AWATAKA Watanzania wasikubali kutishwa

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, haviwezi kutishwa na mtu yeyote katika kutekeleza maamuzi yoyote kutokana na kuwa na historia ya kuwa na msimamo usioyumba na uongozi thabiti. Membe ambaye ni miongoni mwa wana CCM waliotangaza nia ya kuwania urais kupitia chama hicho, amesema yeye binafsi hatokuwa na kinyongo kwa maamuzi yoyote yatakayochukuliwa na chama hicho hata ikiwa yatakuwa maamuzi machungu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani