Wadai Maalim Seif hana idhini kuwasemea Wazanzibari
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imedai kwamba Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad hana idhini ya kuwasemea Wazanzibari kuwa wanataka Muungano wa aina gani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mzalendo Zanzibar30 Sep
Maalim Seif: Tumaini la Wazanzibari
Maalim Seif Changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi wa Zanzibar na jinsi Chama Cha Wananchi CUF chini ya uongozi wa Maalim Seif Sharif Hamad walivyojipanga kuzitatua changamoto hizo endapo watapata ridhaa ya kuwaongoza wananchi wa Zanzibar.
The post Maalim Seif: Tumaini la Wazanzibari appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Maalim Seif: Wazanzibari wanataka mamlaka kamili
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Maalim Seif: Wazanzibari nichagueni mnufaike na Muungano
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Maalim Seif awataka Wazanzibari wasikubali kuvurugwa, watulie
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Balozi Seif amponda Maalim Seif
11 years ago
Mtanzania09 Sep
‘Maalim Seif ni Popo’

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amemshambulia kwa maneno Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimfananisha na popo.
Mbunge huyo alisema hayo baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema lengo ni kujibu mashambulizi yaliyoelezwa kwake na...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Maalim Seif amtega JK
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanaweza kurudi bungeni iwapo Rais Jakaya Kikwete atawahakikishia kuwa...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Maalim Seif: Msihofu
9 years ago
Mwananchi05 Nov
JK akutana na Maalim Seif