Wasanii wawataka Wazanzibari watulie
NA CHRISTOPHER MSEKENA
WASANII mbalimbali waliopo visiwani Zanzibar wameonyesha kuguswa na hali ya Zanzibar, huku wakiwataka mashabiki wao wanaoishi visiwani humo wawe watulivu kipindi hiki cha mgogoro wa kisiasa visiwani humo.
Wasanii hao waliliambia MTANZANIA kwa nyakati tofauti kwamba wameguswa na mgogoro huo, hivyo mashabiki wao hawatakiwi kuwa na papara kwa kuwa mgogoro huo unafanyiwa kazi na utapatiwa ufumbuzi.
Msanii Ally Ramadhan ‘AT’ alisema nchi nyingi huwa zinaingia kwenye...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Maalim Seif awataka Wazanzibari wasikubali kuvurugwa, watulie
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0atGmsdmURRSF-89XjE1TMag*Tkde8n71UoDL0CZEGlh0tN5QSWo4PBRvmh0HWFT8QZcZk22QXuOyDMrOT-G-t2jMb5KyxNT/1.jpg)
BASATA, TCRA WAWATAKA WASANII KUZINGATIA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO
10 years ago
Vijimambo15 Apr
Mkwara wake lazima Msuva na Ngassa watulie
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2685492/highRes/991789/-/maxw/600/-/11q0uc/-/mkwara+picha.jpg)
By Doris Maliyaga Hata hivyo, Geofrey Mwashiuya, winga mpya wa Yanga anajipa moyo kuwa, mradi ametua Jangwani, yupo tayari kukabiliana na ushindani wowote wa namba.
Hata hivyo, Geofrey Mwashiuya, winga mpya wa Yanga anajipa moyo kuwa, mradi ametua Jangwani, yupo tayari kukabiliana na ushindani wowote wa namba.
Chipukizi huyo aliyesajiliwa mwishoni mwa mwaka jana, anasema anajua mwanzo utakuwa mgumu kwake, lakini kwa vile anajiamini na soka analiweza, atakula sahani moja na wakali hao wa...
9 years ago
Habarileo24 Oct
Wazee wawataka wagombea kukubali matokeo
BARAZA la wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, limewataka wagombea wote kuyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu, baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
9 years ago
StarTV22 Oct
 Wanasheria wawataka wananchi kufahamu haki zao
Wanasheria jijini Arusha wamewataka wananchi kufahamu haki zao za msingi ili waweze kutafuta marekebisho pale haki zao zinapovunjwa.
Hayo yamebainika katika maadhimisho ya siku ya haki za binadamu barani Afrika inayofanyika Oktoba 21 kila mwaka.
Wanasheria hao wamesema Idadi kubwa ya raia wanashindwa kupata haki zao kwa kuwa wengi wao hawafahamu hatua za kufuata pindi ukiukwaji wa haki za binadamu unapotokea.
Wakizungumza katika viunga vya mahakama kuu ya Afrika mawakili,...
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Wananchi wawataka wajumbe kuzingatia nidhamu bungeni
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sehoxXN0Xrg/U_DMdycnCCI/AAAAAAAGAS0/TabylNjI1wM/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
Wazee wa Dar es salaam wawataka UKAWA kurudi Bungeni. Na
11 years ago
Mwananchi02 Jul
IBADA MAALUM: Maaskofu wawataka Ukawa kurejea bungeni