Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee wawataka wagombea kukubali matokeo

BARAZA la wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, limewataka wagombea wote kuyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu, baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wazee wa Dar es salaam wawataka UKAWA kurudi Bungeni. Na

 Immaculate Makilika –MAELEZO_DAR ES SALAAM WAZEE wa Mkoa wa Dar es salaam wamewaomba Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA) kurudi Bungeni ili kuendelea na mchakato wa majadiliano ya Rasimu ya Katiba Mpya yanayoendelea.  Wazee hao wamesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya siasa nchini pamoja na Bunge la Katiba Mpya linaloendelea mjini Dodoma. Akizungumza kwa niaba ya Wazee wenzake Kepteni Mstaafu Alhaji Mohamedi Ligora , amesema kuwa...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Geita Mjini wawataka wagombea kuwa wakweli

Wakazi wa Jimbo la Geita Mjini wamewataka wagombea ubunge kuwa na ahadi za kweli ili kuwasaidia kupata mahitaji ya kijamii ambayo wawakilishi waliopita hawakuweza kuyatatua.

Matatizo yanayowakabili ni ukosefu wa maji salama, ajira, umeme wa uhakika na huduma za afya wakidai kuwa kiongozi atakayepata nafasi ya kuwawakilisha wananchi kwa miaka mitano na kushindwa kuzitatua kero zao watahakikisha anaishia miaka mitano na kuchagua mwingine.

 

Wakazi wa Geita Mjini wamesema umefika muda sasa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yatakiwa kukubali matokeo

Mdhamini wa klabu ya Yanga, Mama Fatuma Karume ameutaka uongozi wa klabu hiyo kukubaliana na matokeo ya uwanjani pindi wanapofungwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Siwezi kukubali matokeo kama..

Mgombea urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa, Edward Lowassa amesema kuwa hataweza kukubali kushindwa katika kinyang’anyiro hicho mpaka itakapothibitika kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki.

 

9 years ago

Habarileo

Pinda avitaka vyama kukubali matokeo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema demokrasia ya kweli ni kukubali ukweli, hivyo wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumapili, wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo pindi watakaposhindwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Taifa liandaliwe kukubali matokeo baada ya uchaguzi

Waandishi wa habari wana jambo la kujifunza kutoka uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini Kenya mwaka 2007. Vilevile, wanasiasa wana jambo la kujifunza kutoka uchaguzi ule. Jambo hilo si jingine bali la kuliandaa Taifa kukubali matokeo.

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini wataka wanasiasa kukubali matokeo

Shehe wa Mkoa Kigoma na Ulamaa wa Taifa, Hassan KiburwaWAKATI Waislamu mkoani Kigoma wakiungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitr, viongozi wa dini na mashehe wamewataka wanasiasa waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kukubali matokeo ili kudumisha amani ya nchi yetu.

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Dr Asha - Rose Migiro Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Hotuba ya Mhe Dk. Asha-Rose Migiro akikubali matokeo ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya urais.
Dr Migiro alishika nafasi ya tatu katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na Balozi Amina Salum Ali

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Balozi Amina Salum Ali Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Hotuba ya Mhe Balozi Amina Salum Ali akikubali matokeo ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya urais.
Balozi Amina alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na mbele ya Dr Asha-Rose Migiro

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani