Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Geita Mjini wawataka wagombea kuwa wakweli

Wakazi wa Jimbo la Geita Mjini wamewataka wagombea ubunge kuwa na ahadi za kweli ili kuwasaidia kupata mahitaji ya kijamii ambayo wawakilishi waliopita hawakuweza kuyatatua.

Matatizo yanayowakabili ni ukosefu wa maji salama, ajira, umeme wa uhakika na huduma za afya wakidai kuwa kiongozi atakayepata nafasi ya kuwawakilisha wananchi kwa miaka mitano na kushindwa kuzitatua kero zao watahakikisha anaishia miaka mitano na kuchagua mwingine.

 

Wakazi wa Geita Mjini wamesema umefika muda sasa wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wazee wawataka wagombea kukubali matokeo

BARAZA la wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, limewataka wagombea wote kuyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu, baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magenius wetu Dodoma wawe na ujasiri wa kuwa wakweli

HAKUNA muungano kamili duniani ambao hauna kero au upungufu wake. Haijalishi muungano wa nchi ulianzaje, mwisho wa siku ni wananchi wa nchi hiyo ambao watapaswa kuamua kama muungano wao utadumu...

 

11 years ago

Michuzi

IDADI kubwa ya Wakazi wa jiji la Dar wawataka Kwetu Pazuri

IDADI kubwa ya Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wametoa ushauri kwa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka kulialika kundi la Ambassadors of Christ ‘Kwetu Pazuri’ katika tamasha la mwaka huu.  Wakazi hao walitoa tamko hilo hivi karibuni wakieleza kwamba kundi hilo ni kundi pendwa kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa Injili hapa nchini kwa sababu ya nyimbo zao kukonga nyoyo za mashabiki na wapenzi wengi zaidi. “Msama Promotions, watuletee Kwetu Pazuri, kwani ni kundi ambalo lina...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA

Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku huu kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ney Wa Mitego (pichani kulia) na Stamina wakilishambulia jukwaa kwa wimbo wao wa Huko Kwenu vipi,huku makele ya shangwe yakiwa yametawala kila kona ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga usiku huu.Sehemu ya mashabiki wa Fiesta...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi watumia mabomu kutawanya wakazi Geita

>Mji wa Katoro jana ulizizima kwa mabomu ya machozi wakati polisi walipokuwa wakiwatawanya wanafunzi na wananchi waliofunga barabara kuu ya Geita Bukoba  waliokuwa wakiishinikiza Serikali kuwawekea matuta ili kuepukana na ajali.

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Wilaya ya Mbogwe Geita wafanya usafi kujikinga Ya Kipindupindu  

 

Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita Mariam Lugaila ameongoza wananchi kutekeleza agizo la mkuu wa mkoa huo Fatma Mwasa la kufanya usafi.

Lengo ni kuhakikisha kila wilaya inajikinga na ugonjwa wa kipindupindu ambao umeshaingia mkoani humo.

Zoezi la usafi limefanyika katika eneo la sokoni na stendi ya mabasi mjini Masumbwe wananchi wote wakihimizwa kufanya usafi majumbani na maeneo ya kazi sambamba na kuchimba vyoo na kuvitumia.

Mkuu wa wilaya ya mbogwe Bi Mariamu Lugaila Amesema Rais John...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YAPIMA AFYA BURE KWA WAKAZI WA MKOA GEITA

Kaimu Meneja wa Mafao ya Matibabu Dk. Lucy Simbila akizungumza kabla ya Kumkaribisha Mgeni Rasmi Kaimu Mganga Mkuu Mkoa wa Geita Dk. Ndinisyu Daniel (kushoto) kufungua zoezi hilo. Wengine ni Dr. Ali Mzige (wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Bw.Shaban Mpendu, Meneja wa NSSF Mkoa wa Geita na Mwisho ni Regional Aids Control Cordinator (RACC), Elisande Shumbi. wakazi wa Geita wakiwa wamejitokeza kwa wingi kupima Afya zao.

Meneja wa NSSF GEITA, Bw. Shaban Mpendu akimsikiliza kwa makini  Dr....

 

9 years ago

StarTV

 Wakazi Nyarugusu Geita waandamana kwa madai ya kifo cha mjamzito

 

 

Wakazi wa Kijiji cha Nyarugusu wilayani Geita wameandamana hadi katika Zahanati ya kijijini hapo kwa madai ya Nesi kuhusika kusababisha kifo cha mama mjamzito aliyekosa huduma kwa uzembe wa nesi wa zamu.

Inadaiwa kuwa Novemba 18 Marehemu Kabula George alifikishwa katika Zahanati ya Nyarugusu ambapo alipokelewa na Nesi wa Zamu majira ya saa tano usiku.

Nesi huyo alimhudumia na kumwambia asubiri baada ya saa nne na nesi huyo aliondoka na kwenda kulala ambapo Kabula alizidiwa na uchungu...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani