Taifa liandaliwe kukubali matokeo baada ya uchaguzi
Waandishi wa habari wana jambo la kujifunza kutoka uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini Kenya mwaka 2007. Vilevile, wanasiasa wana jambo la kujifunza kutoka uchaguzi ule. Jambo hilo si jingine bali la kuliandaa Taifa kukubali matokeo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.
Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Yanga yatakiwa kukubali matokeo
9 years ago
Habarileo24 Oct
Wazee wawataka wagombea kukubali matokeo
BARAZA la wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, limewataka wagombea wote kuyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu, baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
9 years ago
Habarileo21 Oct
Pinda avitaka vyama kukubali matokeo
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema demokrasia ya kweli ni kukubali ukweli, hivyo wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumapili, wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo pindi watakaposhindwa.
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Lowassa: Siwezi kukubali matokeo kama..
10 years ago
Habarileo19 Jul
Viongozi wa dini wataka wanasiasa kukubali matokeo
WAKATI Waislamu mkoani Kigoma wakiungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitr, viongozi wa dini na mashehe wamewataka wanasiasa waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kukubali matokeo ili kudumisha amani ya nchi yetu.
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Tupige kura, tupokee matokeo kwa amani na utulivu, kuna maisha baada ya uchaguzi
5 years ago
BBCSwahili22 Jun
Malawi kuingia kwenye duru ya pili ya uchaguzi baada ya matokeo ya mwaka jana kutupiliwa mbali