Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa dini wataka wanasiasa kukubali matokeo

Shehe wa Mkoa Kigoma na Ulamaa wa Taifa, Hassan KiburwaWAKATI Waislamu mkoani Kigoma wakiungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitr, viongozi wa dini na mashehe wamewataka wanasiasa waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kukubali matokeo ili kudumisha amani ya nchi yetu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Viongozi wa dini acheni kuwatembeza wanasiasa’

Viongozi wa dini wametakiwa kuepuka kutumiwa kama wafanyabiashara wa kuwauza wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, hasa urais.

 

9 years ago

StarTV

Viongozi wa dini Kilimanjaro wawaonya wanasiasa

 

Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Kilimanjaro wamewaonya wanasiasa kuacha lugha potofu na zenye uchochezi ambazo zinaweza kusababisha uvunjifu wa amani hasa wakati huu ambao watanzania wako katika harakati za kufanya uchaguzi wa viongozi watakaoliongoza taifa kwa miaka mitano ijayo.

Kauli za viongozi hao zinakuja kutokana na baadhi ya wanasiasa kutumia mikutano na majukwaa ya kampeni kutamka maneno ambayo yanahatarisha amani nchini.

Hayo yamejiri katika mkutano ulioandaliwa na viongozi...

 

9 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuwakwepa wanasiasa

VIONGOZI wa dini wametakiwa kuwa wavumilivu na kuacha mabishano na wanasiasa ili kuepusha mvurugano unaoweza kusababisha uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha uchaguzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini wakumbuka mashujaa ‘walia’ na wanasiasa

Viongozi wa dini nchini wameendelea kuwataka wanasiasa kuweka kando maslahi binafsi ya vyama vyao katika mchakato wa Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa dini, wanasiasa waombwa kusaidia kufanikisha chanjo ya Surua na Rubella

DSC01014

Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi, akifungua kikao cha uhabarisho wa chanjo mpya ya Surua na Rubella wilayani humo. Dc Mlozi pamoja na mambo mengine, ameagiza viongozi wa madhehebu ya dini na wale wa kisiasa, kushiriki kikamilifu zoezi hilo la kitaifa linalotarajiwa kuanza Okt. 18 hadi 24 mwaka huu. Jumla ya watoto 103,879 wilayani humo, wanatarajiwa kupatiwa chanjo hiyo. Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Mwendahasara Maganga.

Na Nathaniel Limu,...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yatakiwa kukubali matokeo

Mdhamini wa klabu ya Yanga, Mama Fatuma Karume ameutaka uongozi wa klabu hiyo kukubaliana na matokeo ya uwanjani pindi wanapofungwa.

 

9 years ago

Habarileo

Wazee wawataka wagombea kukubali matokeo

BARAZA la wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, limewataka wagombea wote kuyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu, baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

9 years ago

Habarileo

Pinda avitaka vyama kukubali matokeo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema demokrasia ya kweli ni kukubali ukweli, hivyo wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumapili, wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo pindi watakaposhindwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Siwezi kukubali matokeo kama..

Mgombea urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa, Edward Lowassa amesema kuwa hataweza kukubali kushindwa katika kinyang’anyiro hicho mpaka itakapothibitika kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani