Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wawataka wajumbe kuzingatia nidhamu bungeni

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wametakiwa kuwa na nidhamu na kuheshimu muda uliowekwa, kwa ajili ya vikao vya Bunge hilo badala ya kuendeleza malumbano yasiyokuwa na tija kwa Taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BASATA, TCRA WAWATAKA WASANII KUZINGATIA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Innocent Mungy (kulia) akiongea na wadau wa Sanaa (hawako pichani) wakati akiwasilisha mada kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa wasanii kwenye Jukwaa la Sanaa lililofanyika Jumanne ya wiki hii makao makuu ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Ilala, Sharif Shamba. Kushoto ni Mwanasheria wa BASATA Deogratius Nchimbi.
Mwanasheria wa Baraza la Sanaa la...

 

11 years ago

Michuzi

Mtanzao wa Wanafunzi Nchini wawataka Wajumbe wa Bunge la Katiba kufikia Muafaka

MTANDAO wa wanafunzi nchini (TSNP) Umetoa tamko dhidi ya mwenendo wa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Tanzania.
Mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa wanafunzi Bwana Alphonce Lusako ametoa tamko hilo katika mkutano ulioudhuriwa na  waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Lusako ametoa ombi kwa vyama vyote vya siasa kurudi bungeni na kufanya maridhiano ili tuweze kupata katiba mpya ambayo itasaidia kuokoa mabilioni ya fedha za watanzania ambazo zimekwisha tumika katika mchakato wa kutafuta...

 

10 years ago

Michuzi

Wazee wa Dar es salaam wawataka UKAWA kurudi Bungeni. Na

 Immaculate Makilika –MAELEZO_DAR ES SALAAM WAZEE wa Mkoa wa Dar es salaam wamewaomba Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA) kurudi Bungeni ili kuendelea na mchakato wa majadiliano ya Rasimu ya Katiba Mpya yanayoendelea.  Wazee hao wamesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya siasa nchini pamoja na Bunge la Katiba Mpya linaloendelea mjini Dodoma. Akizungumza kwa niaba ya Wazee wenzake Kepteni Mstaafu Alhaji Mohamedi Ligora , amesema kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

IBADA MAALUM: Maaskofu wawataka Ukawa kurejea bungeni

>Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limewataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurudi bungeni bila masharti na kuendelea na mjadala wa Katiba kwa manufaa ya taifa.

 

9 years ago

StarTV

Ligi daraja la pili Wachezaji watakiwa kuzingatia nidhamu, shria na kanuni.

 

Wakati kipenga cha michuano ya ligi soka daraja la pili kikipangwa kuanza Jumapili hii katika viwanja mbalimbali nchini wachezaji wametakiwa kuzingatia nidhamu, sheria kanuni na taratibu zinazoongoza mpira wa miguu

Michuano hiyo inazishirikisha timu 24 na timu ya Alliance Sports Academy imepangwa kundi B pamoja na Bulyanhulu ya Shinyanga JKT Rwamkoma ya Mara AFC na Madini Fc zote za Arusha na Pamba Fc ya mwanza

 Star Tv imefika katika viwanja vya timu ya Alliance Sports Academy ili...

 

9 years ago

StarTV

 Wanasheria wawataka wananchi kufahamu haki zao

Wanasheria  jijini Arusha wamewataka  wananchi kufahamu haki zao za msingi ili waweze  kutafuta marekebisho  pale haki zao zinapovunjwa.

Hayo yamebainika katika maadhimisho ya siku ya haki za binadamu barani  Afrika inayofanyika Oktoba  21 kila mwaka.

Wanasheria hao wamesema Idadi kubwa ya raia wanashindwa kupata haki zao  kwa kuwa wengi wao hawafahamu  hatua za kufuata pindi ukiukwaji wa haki za binadamu  unapotokea.

Wakizungumza katika viunga vya mahakama kuu ya Afrika  mawakili,...

 

11 years ago

Habarileo

Sitta: Nataka nidhamu bungeni

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza kazi na kuwaonya wajumbe wa bunge hilo ambao wamekuwa na tabia ya kupayuka ovyo kwenye vipaza sauti, kuwa wasimlaumu kwa vile atawabana kwa kutumia kanuni walizozitunga wao wenyewe.

 

10 years ago

Habarileo

Sitta ataka wajumbe kuzingatia ratiba

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amewataka wajumbe wa Bunge hilo kuzingatia ratiba waliyopewa, ili wamalize kazi iliyo mbele yao kwa muda mwafaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani