Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta ataka wajumbe kuzingatia ratiba

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amewataka wajumbe wa Bunge hilo kuzingatia ratiba waliyopewa, ili wamalize kazi iliyo mbele yao kwa muda mwafaka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wawataka wajumbe kuzingatia nidhamu bungeni

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wametakiwa kuwa na nidhamu na kuheshimu muda uliowekwa, kwa ajili ya vikao vya Bunge hilo badala ya kuendeleza malumbano yasiyokuwa na tija kwa Taifa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kova ataka polisi kuzingatia weledi

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna (CP), Suleiman Kova, amewataka askari wa kanda hiyo kufanya kazi kwa weledi, kuzingatia haki za binadamu na kufuata maadili ya...

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Ramadhani ataka Afrika kuzingatia haki za binadamu

RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Jaji Augustino Ramadhani amezitaka nchi za Afrika kuzingatia zaidi masuala ya haki za binadamu kama kweli zinataka kupiga hatua za kiuchumi na kidemokrasia.

 

11 years ago

Mwananchi

Jussa adai Sitta anawapendelea wajumbe wanaotoka CCM

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Ismail Jussa Ladhu anaendelea kulia na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta kuwa anawaburuza.

 

9 years ago

Habarileo

Sitta ataka akutanishwe na Lowassa

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa uelezwe ukweli juu ya ukweli wa sakata la Richmond.

 

9 years ago

Mwananchi

Sitta ataka mdahalo na Lowassa

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Samuel Sitta amesema anataka mdahalo katika vyombo vyote vya habari na mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa ili kuwaeleza wananchi ukweli juu ya kuhusika kwake na kashfa ya Richmond.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani