Sitta ataka mdahalo na Lowassa
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Samuel Sitta amesema anataka mdahalo katika vyombo vyote vya habari na mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa ili kuwaeleza wananchi ukweli juu ya kuhusika kwake na kashfa ya Richmond.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar31 Aug
Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond
Monday, August 31, 2015 MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa […]
The post Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Habarileo31 Aug
Sitta ataka akutanishwe na Lowassa
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa uelezwe ukweli juu ya ukweli wa sakata la Richmond.
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Magufuli akubali, Lowassa achomoa mdahalo
9 years ago
Dewji Blog18 Oct
Mdahalo wa wagombea Urais Tanzania wafanyika, Magufuli, Lowassa washindwa kuhudhuria
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/134.jpg)
MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TANZANIA WAFANYIKA, MAGUFULI, LOWASSA WASHINDWA KUHUDHURIA
10 years ago
Habarileo25 Sep
Sitta ataka wajumbe kuzingatia ratiba
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amewataka wajumbe wa Bunge hilo kuzingatia ratiba waliyopewa, ili wamalize kazi iliyo mbele yao kwa muda mwafaka.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Sitta amemsikia Lowassa?
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amewaangukia maaskofu wa Kanisa Katoliki, akiwaomba wasamehe sintofahamu iliyojitokeza kati ya Serikali na viongozi wa dini wakati wa Bunge Maalum la Katiba. Kauli ya Lowassa...
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Lowassa ambeba Sitta
MWEZI mmoja baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, kuwabeza maaskofu nchini, akisema kuwa baadhi ya nyaraka zao kwa waumini kuhusu mwenendo wa Bunge hilo hazikuwa...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Jk awatosa Lowassa, Sitta, Membe
RAIS Jakaya Kikwete, ameamua kuwatosa kiana baadhi ya makada wenzake wazee wanaonyesha nia kutaka kuwania urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani, Tanzania Daima limebaini. Alisema vijana ndiyo chachu ya...