Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli akubali, Lowassa achomoa mdahalo

Siku moja kabla ya kufanyika kwa mdahalo wa wagombea urais nchini, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umesema mgombea wao kupitia Chadema, Edward Lowassa hatashiriki shughuli hiyo huku CCM ikithibitisha mgombea wake, Dk John Magufuli kushiriki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Edward Lowassa akubali kuwa Magufuli ni dume la ngo'mbe

-Asema magufuli ni mchapakazi
-Ana moyo wa kutumikia watu
-Anamudu wizara zote
-Amuita dume la ng'ombe




 

9 years ago

Dewji Blog

Mdahalo wa wagombea Urais Tanzania wafanyika, Magufuli, Lowassa washindwa kuhudhuria

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam leo. Hata hivyo wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza kuhudhuria kwa sababu mbalimbali.  Waongozaji wa mdahalo huo wakiwa...

 

9 years ago

GPL

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TANZANIA WAFANYIKA, MAGUFULI, LOWASSA WASHINDWA KUHUDHURIA‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam leo. Hata hivyo wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa akubali yaishe Urais CCM

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward LowassaSIKU moja baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumuonya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, kwa tuhuma za kukiuka Katiba na kuanza kampeni za Urais kabla ya muda, kiongozi huyo ameibuka na kudai kuwa hana njia ya kuwazuia watu wasimuombe agombee Urais.

 

9 years ago

Mwananchi

Sitta ataka mdahalo na Lowassa

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Samuel Sitta amesema anataka mdahalo katika vyombo vyote vya habari na mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa ili kuwaeleza wananchi ukweli juu ya kuhusika kwake na kashfa ya Richmond.

 

9 years ago

Bongo5

Staa huyu mrembo wa Kenya akubali kasi ya Magufuli

11875527_879234492167295_1538931681_n

Kwa wiki ya pili sasa Rais Dkt Magufuli ameendelea kuwa gumzo barani Afrika na sasa hadi nchi za Ulaya zimedata naye.

11875527_879234492167295_1538931681_n

Gazeti kubwa la Marekani, The Guardian limeandika habari isemayo: What would Tanzania’s cost-cutting president do? Twitter responds.

Jina lake linatrend muda wote kwenye mtandao wa Twitter na kadri siku zinavyooenda habari za utendaji wake zinazidi kuenea.

Hata wasichana wazuri kama Sheila Mwanyiga aka Nikki nao wamempa salute Magu.

12224181_540827232738239_945873871_n

This man #Magufuli… A #NewAfrica rises...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli athibitisha ushiriki mdahalo wa urais

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amethibitisha kushiriki katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza, utakaofanyika kesho ambao utawakutanisha wagombea watano wa vyama vya upinzani.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond

Monday, August 31, 2015 MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa […]

The post Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani