Staa huyu mrembo wa Kenya akubali kasi ya Magufuli
Kwa wiki ya pili sasa Rais Dkt Magufuli ameendelea kuwa gumzo barani Afrika na sasa hadi nchi za Ulaya zimedata naye.
Gazeti kubwa la Marekani, The Guardian limeandika habari isemayo: What would Tanzania’s cost-cutting president do? Twitter responds.
Jina lake linatrend muda wote kwenye mtandao wa Twitter na kadri siku zinavyooenda habari za utendaji wake zinazidi kuenea.
Hata wasichana wazuri kama Sheila Mwanyiga aka Nikki nao wamempa salute Magu.
This man #Magufuli… A #NewAfrica rises...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies05 Dec
STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo
Mtoto wa msanii wa filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja, Paula Paul ukipenda muite Paulitte. Sasa hivi anaoneka amekuwa binti mkubwa na mrembo zaidi….Mbali na kuwa mama yake ni staa mkubwa kwa upande wa Bongo Movie, baba yake , P. Funk aka Majani pia ni mtayarishaji wa music mkongwe na mwenye mafanikia makubwa kwenye upande wa Bongo Flava. Paula japokuwa bado yupo shule lakini maisha yake ya kuwa karibu sana na mama yake kwa ujumla yanamfanya ajuane na ajulikane sio tu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCtZwmBXDzIMz8zj8r6J1in-eI*rnBnjDO*kHUYaoJcoAUYSAis0BpvQOonupyDnZW4tCjr-WzjmoLHTSNXnD6po/DIAMOND.jpg?width=650)
11 years ago
GPL16 Jul
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Je,huyu ndio mwanamke mrembo duniani?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O3p1FaWf5Ach5PTx-AyCiU*Cv-me1Ivd71WNu1DW0RVTb9v991BMvXymSK-JBCm1lbTPsV60ecAwE4Md7MZnFjx*YmrwoGtS/1.jpg?width=650)
USIOMBE YAKUKUTE YALIYOMTOKEA MREMBO HUYU
9 years ago
Bongo514 Dec
Q-Chief amezama kwa mrembo huyu? (Picha)
![12277431_527519090736493_1118762771_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12277431_527519090736493_1118762771_n-300x194.jpg)
Huenda Q Chief akawa amezama kwenye penzi zito na mrembo huyu na anataka kila mtu ajue.
Mwimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Mkungu wa Ndizi’ hivi baribuni akiwa na TID, aliposti picha katika mtandao wa Instagram akila denda na msichana huyo.
Hivi karibuni Q Chief alinukuliwa na vyombo vya habari akisema, ameamua kuingia kwenye maisha ya ndoa baada ya kuona mwanamke aliye naye ameweza kumsaidia kumuondoa katika matatizo yaliyokuwa yakimkabili.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi...
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal …
Baada ya dirisha dogo la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara kufungwa December 15, barani Ulaya ndio stori za usajili zinazidi kuchukua nafasi. December 31 stori kutoka mtandao wa 101greatgoals.com unaripoti klabu ya Arsenal ya Uingereza imekamilisha mipango ya usajili ya Mohamed Elneny. Dirisha dogo la usajili kwa nchi za Ulaya linafunguliwa January 1 klabu […]
The post Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal … appeared first on...