USIOMBE YAKUKUTE YALIYOMTOKEA MREMBO HUYU
Issa Mnally MAMBO mengine ni ya kuyasikia yakiwatokea wenzako na usiombe yakakukuta kama ilivyomtokea msichana huyu ambaye hakufahamika jina lake mara moja baada ya kuchukua kipigo ‘hevi’ ambacho nusura apoteze maisha yake, maeneo ya Sinza Afrikasana, juzi Jumatatu. Dada huyo akilia baada ya kupokea kichapo kikali. Mashuhuda wa tukio hilo wanasema, binti huyo akiwa na mwanaume mmoja, walionekana wakitoka katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Je,huyu ndio mwanamke mrembo duniani?
9 years ago
Bongo514 Dec
Q-Chief amezama kwa mrembo huyu? (Picha)
Huenda Q Chief akawa amezama kwenye penzi zito na mrembo huyu na anataka kila mtu ajue.
Mwimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Mkungu wa Ndizi’ hivi baribuni akiwa na TID, aliposti picha katika mtandao wa Instagram akila denda na msichana huyo.
Hivi karibuni Q Chief alinukuliwa na vyombo vya habari akisema, ameamua kuingia kwenye maisha ya ndoa baada ya kuona mwanamke aliye naye ameweza kumsaidia kumuondoa katika matatizo yaliyokuwa yakimkabili.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi...
9 years ago
Bongo501 Dec
Staa huyu mrembo wa Kenya akubali kasi ya Magufuli
Kwa wiki ya pili sasa Rais Dkt Magufuli ameendelea kuwa gumzo barani Afrika na sasa hadi nchi za Ulaya zimedata naye.
Gazeti kubwa la Marekani, The Guardian limeandika habari isemayo: What would Tanzania’s cost-cutting president do? Twitter responds.
Jina lake linatrend muda wote kwenye mtandao wa Twitter na kadri siku zinavyooenda habari za utendaji wake zinazidi kuenea.
Hata wasichana wazuri kama Sheila Mwanyiga aka Nikki nao wamempa salute Magu.
This man #Magufuli… A #NewAfrica rises...
10 years ago
Bongo523 Oct
Picha: Mrembo huyu wa kizungu ndiye mpenzi wa Adam Nditi!
9 years ago
Bongo504 Jan
Tekno amchana mrembo huyu wa Bongo aliyedanganya amelala naye
Msanii wa Nigeria, Tekno amemchana model wa video na msanii mchanga, Gigy Money aliyezusha kuwa amelala naye kwa kupost picha Instagram akiwa naye chumbani.
Gigy Money alipost picha hii Instagram akiwa chumbani na Tecno
Katika kuhakikisha kuwa wanaelewa ujumbe wake, Tekno aliandika ujumbe wake wa Kiswahili (ofcourse aliandikiwa na mtu, wengi wanahisi ameandikiwa na Lulu)
“Hahahahaha we malaya umelala na manager wangu alafu ukaletwa chumbani kwangu maana uliomba upige picha na mimi. Sahivi...
9 years ago
Bongo514 Nov
Mrembo huyu ndiye sababu iliyomfanya Nisher awe kimya? (Picha)
Muongozaji wa video, Nisher amemweka wazi mpenzi wake.
Nisher aliyewahi kushinda tuzo za muongozaji wa video zinazopendwa kwenye Tuzo za Watu, amemweka wazi mrembo huyo kwenye Instagram.
Kwa wengi mrembo huyo anaweza kuwa ndio sababu ya ukimya wake kwenye uongozaji wa video. Hivi karibuni muongozaji huyo mwenye makazi yake jijini Arusha alidai kuwa anafikiria kuoa na pengine mpango huo unaweza kufanyika mapema zaidi.
“Umri wangu unaenda,” Nisher aliiambia Bongo5, September 12 mwaka...