Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond

Monday, August 31, 2015 MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa […]

The post Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Sitta ataka akutanishwe na Lowassa

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa uelezwe ukweli juu ya ukweli wa sakata la Richmond.

 

9 years ago

Mwananchi

Sitta ataka mdahalo na Lowassa

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Samuel Sitta amesema anataka mdahalo katika vyombo vyote vya habari na mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa ili kuwaeleza wananchi ukweli juu ya kuhusika kwake na kashfa ya Richmond.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo


Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...

 

11 years ago

IPPmedia

CA's Chair is Samwel Sitta


IPPmedia
CA's Chair is Samwel Sitta
IPPmedia
Memorable occasion as former Prime Minister Edward Lowassa (L) and newly elected Constituent Assembly Chair Samwel Sitta shake hands in the House in Dodoma yesterday shortly after the latter had introduced himself to members as a candidate for the ...

 

11 years ago

IPPmedia

Constituent Assembly Chairman, Samwel Sitta


IPPmedia
Constituent Assembly Chairman, Samwel Sitta
IPPmedia
Several members of the Constituent Assembly have faulted Chairman Samwel Sitta's appointments of the five members to the leadership committee. They were speaking after the Civic United Front Chairman Prof Ibrahim Lipumba turned down his ...
Lipumba rejects steering committee slotDaily News

all 5

 

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa mhe. samwel sitta

 Watoto wa Mhe Samwel John Sitta wana furaha ya kusherehekea miaka 72 ya kuzaliwa kwa baba yao mpendwa. Wanatoa salamu za heri, upendo na furaha kwa mzee wao kufikisha miaka hiyo akiwa buheri wa afya na wanamtakia azime tena mishumaa mingine zaidi huku akiendelea kuwapenda kama wanavyompenda. 

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. SAMWEL SITTA AKUTANA NA WANADMV AFAFANUA VIFUNGU VYA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA

Mhe. Samwel Sitta amewasili nchini Marekani siku ya Jumapili Februari 22, 2015 na baadae jioni kukutana na Watanzania wa DMV na kuwafafanulia vifungu vya katiba iliyopendekezwa hasa kwenye swala la Serikali tatu na kueleza ni kwanini CCM ilipendelea serikali 2 na pia kufafanua swala la uraia pacha ambalo ndio kilio cha Diaspora na kuelezea kwa kina kifungu hicho ndani ya katiba iliyopendekezwa Mtanzania yeyote mwenye uraia wa nchi nyingine atakua na haki kama Mtanzania mwingine ikiwemo...

 

10 years ago

GPL

MHE. SAMWEL SITTA AKUTANA NA WANADMV AFAFANUA VIFUNGU VYA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA‏

Mhe. Samwel Sitta akiongea na mwenyeji wake jambo Mhe. Liberata Mulamula. Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samwel Sitta (kati) akiambatana na mwenyeji wake Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula kuingia kwenye ukumbi wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland nchini Marekani. …

 

9 years ago

Vijimambo

Mwakyembe Amshambulia LOWASSA Kuhusu Sakata la Richmond Mwigulu Nchemba naye Adai Lowassa Ni Mpiga Dili Tangu Kijana


Mwakyembe Akihutibia UmatiAliyekuwa mwenyekiti wakamati teule ya bunge ya kuchunguza kashfa ya mkataba tata wa Richmond iliyomuondoa madarakani aliyekuwa waziri mkuu Mh Edward Lowassa, Mh Harrsion Mwakyembe amewahakikishia watanzania kuwa walijiridhisha pasipo shaka kuhusika kwa Edward Lowassa katika sakata la Richmond na kwamba hawakumsingizia kama anavyojitetea hivi sasa.Mwakyembe aliyasema hayo mbele ya maelfu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa mgombea urais wa CCM, Dk John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani