Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli athibitisha ushiriki mdahalo wa urais

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amethibitisha kushiriki katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza, utakaofanyika kesho ambao utawakutanisha wagombea watano wa vyama vya upinzani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wagombea urais wajivuta kuthibitisha ushiriki mdahalo

Kamati ya Maandalizi ya midahalo ya wagombea urais na wagombea wenza inayoratibiwa na Baraza la Habari Tanzania-MCT imetoa  muda hadi keshokutwa kwa vyama vyenye wagombea urais kuthibitisha ushiriki wao katika Midahalo waliouandaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wagombea urais wajivuta kudhibitisha ushiriki mdahalo

Kamati ya Maandalizi ya midahalo ya wagombea urais na wagombea wenza inayoratibiwa na Baraza la Habari Tanzania-MCT imetoa  muda hadi keshokutwa kwa vyama vyenye wagombea urais kuthibitisha ushiriki wao katika Midahalo waliouandaa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mdahalo wa wagombea Urais Tanzania wafanyika, Magufuli, Lowassa washindwa kuhudhuria

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam leo. Hata hivyo wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza kuhudhuria kwa sababu mbalimbali.  Waongozaji wa mdahalo huo wakiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ngasongwa na ushiriki wa mdahalo badala ya Mkapa

>Unapozungumzia siasa za vyama huwezi kuweka kando sera au ilani za vyama kwani ndiyo mwongozo wa mipango inayoelezwa kwa wanachama na wananchi ili kuwavutia kukipigia kura chama husika kushika dola.

 

10 years ago

GPL

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TANZANIA WAFANYIKA, MAGUFULI, LOWASSA WASHINDWA KUHUDHURIA‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam leo. Hata hivyo wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza...

 

10 years ago

Habarileo

Sophia Simba athibitisha wanawake kuwania Urais

Sophia SimbaWAZIRI wa Mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema wapo wanawake wengi wenye sifa ya kushika nafasi ya Urais na kwamba muda utakapowadia watajitangaza.

 

10 years ago

Mwananchi

URAIS CCM: Migiro athibitisha; kimya kingi kina mshindo mkuu

Ingawa hakuwa akitajwa mara kwa mara kwamba ni mmoja wa wagombea tishio, kupitishwa kwa jina la Dk Asha-Rose Migiro kuingia katika tano bora ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, siyo jambo la ajabu.

 

10 years ago

Habarileo

CCM yataka mdahalo wa urais

SIKU moja baada ya vyama vinavyounda Ukawa kuomba kufanyika mdahalo utakaowajumuisha viongozi wa vyama, badala ya wagombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejitokeza na kutaka ufanyike mdahalo utakaowajumuisha wagombea urais wote, bila yeyote kukimbia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani