Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yataka mdahalo wa urais

SIKU moja baada ya vyama vinavyounda Ukawa kuomba kufanyika mdahalo utakaowajumuisha viongozi wa vyama, badala ya wagombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejitokeza na kutaka ufanyike mdahalo utakaowajumuisha wagombea urais wote, bila yeyote kukimbia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM ULIVYOYEYUKA

 Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amina Salum Ali.  Viti vikiwa tupu baada ya kuahirishwa kwa mdahalo huo.  Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amina Salum Ali (kulia), akizungumza na wadau mbalimbali waliofika kwa lengo la kuwasikiliza wagombea hao…

 

9 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema ‘wakwepa’ mdahalo wa urais

Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Magufuli, pamoja na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameshindwa kushiriki mdahalo maalum wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza pamoja na wadau wengine.

 

10 years ago

Vijimambo

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM KUTOFIKA

IMG-20150608-WA0032Leo June 08 2015 kulikuwa na mdahalo wa Wagombea wa Urais TZ ambao wanawakilisha CCM.. Mdahalo ulianza saa moja jioni Hyatt Regency Dar lakini Wagombea wengi hawakufika aliyefika ni Mgombea mmoja tu, Balozi Amina Salum Ali, wapo waliotoa sababu za kutofika lakini wengine hakukuwa na taarifa yoyote.Ali Mufuruki ni mwenyekiti wa Waandaaji wa Mdahalo huo, hiki ndio alichokisema baada ya kutokea kwa hali hiyo>>>”Sauti yake nimeirekodi pia na unaweza kuisikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM ULIVYOYEYUKA NA KUHUDHURIWA NA MGOMBEA MMOJA AMINA SALUM ALI

 viti vikiwa tupu baada ya kuahirishwa kwa mdahalo huo. Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amina Salum Ali (kulia), akizungumza na wadau mbalimbali waliofika kwa lengo la kuwasikiliza wagombea hao ambao hawakufika.Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amina Salum Ali, akitoka ukumbini katika Hoteli ya Hyatt Recency Kilimanjaro baada ya kuahirishwa kwa Mdahalo wa waliotangaza nia ya kugombea urais kupitia chama hicho kushindwa kuhudhuria Dar es Salaam...

 

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TANZANIA

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam leo. Hata hivyo wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza kuhudhuria kwa sababu mbalimbali. Waongozaji wa mdahalo huo wakiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mdahalo wa wagombea urais Oktoba 18

Wakati joto la uchaguzi likizidi kupanda nchini, wagombea wa urais wanatarajiwa kuchuana vikali kunadi sera zao kwa wananchi katika mdahalo utakaofanyika Oktoba 18 jijini hapa.

 

9 years ago

Mtanzania

Wagombea urais wachuana mdahalo wa Twaweza

annelyimochiefrungwe hashimNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

WAGOMBEA urais wa vyama vya ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Lutasola Yemba, Chama Cha Ukombozi  wa Umma (CHAUMA), Hashimu Rungwe na Chama cha Tanzania Labor (TLP), Macmillan Lyimo wamechuana katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza.

Mdahalo huo uliofanyika Dar es Salaam jana uliwashirikisha wagombea hao huku mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli na Edward Lowassa wa Chama cha...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli athibitisha ushiriki mdahalo wa urais

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amethibitisha kushiriki katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza, utakaofanyika kesho ambao utawakutanisha wagombea watano wa vyama vya upinzani.

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais wakacha mdahalo Dar

Mwenyekiti wa Mdahalo, Ally MfurukiWAGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), juzi walikimbia mdahalo wa kupambana kwa hoja ulioandaliwa na wenyeviti wa sekta binafsi na kujulikana kama ‘CEO round table of Tanzania’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani