Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakurugenzi,wenyeviti watakiwa kusimamia mashirika ya umma Ili kuliingizia taifa faida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Magufuli amewaagiza wakurugenzi na wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma nchini kuhakikisha taasisi na kampuni wanazosimamia zinazalisha.

Agizo hilo limetolewa na Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru kwenye mkutano wa wakurugenzi na watendaji wakuu wa taasisi na mashirika ya umma .

Agizo la serikali limezilenga taasisi zake kuhakikisha zinajiendesha kwa faida na kuliingizia taifa faida ili kuendelea kutoa huduma kwa jamii kwa mashirika ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Watumishi wa umma watakiwa kujitathmini ili kuendana na Kasi Ya Dokta Magufuli

Watumishi wa umma wametakiwa kujitafakari na kujipima kama wanatosha kufanyakazi, itakayoendana na kasi ya uongozi uliopo madarakani chini ya Rais Magufuli, na wanapogundua kuwa hawana uwezo huo wameshauriwa kujiondoa wenyewe ili kupisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi.

Nguvu ya utendaji kazi wa Dokta Magufuli kwa muda usiozidi miezi miwili, umekonga  nyoyo za watanzania ambapo wananchi wengi wameweka bayana mambo wanayoyatarajia kuyaona katika Tanzania mpya wanayodhani itawajengea imani ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magadi soda kuliingizia taifa bil. 480/- kwa mwaka

TANZANIA inatarajia kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa magadi soda duniani yatakayoingizia taifa kiasi cha dola za Marekani milioni 300 kwa mwaka,  sawa na sh bilioni 480. Pesa hizo ni...

 

9 years ago

StarTV

Muhongo awataka wakurugenzi TANESCO kusimamia Utoaji Huduma Ya Umeme

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amewataka wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO wa Kanda, Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia na kutoa huduma bora za umeme ili kukomesha mgao wa Umeme unaoendelea kwenye baadhi ya maeneo nchini.

Waziri Muhongo amesema changamoto kubwa iliyopo katika shughuli nzima ya utoaji huduma za umeme ni pamoja na kuwepo kwa uhaba wa maji unaosababishwa na shughuli za kibinaadamu kwenye vyanzo vya maji.

Amewataka maafisa hao kutoa elimu...

 

10 years ago

Michuzi

Meya Manispaa ya Kinondoni aagiza Wenyeviti kusimamia Watendaji kutekeleza Miradi

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akikata utepe kuzindua Daraja la Mabwepande, Dar es Salaam hivi karibuni.Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Eng. Mussa Nati akizungumza wakati wa kikao cha wenyeviti wa Serikali za Mitaa,uliofanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na wenyeviti wa Serikali za Mitaa.Wenyeviti wa Serikali za mitaa, manispaa ya Kinondoni wakimsikiliza Meya Yusuph Mwenda.

 

11 years ago

Michuzi

MAGADI SODA YAGUNDULIKA, KULIINGIZIA TAIFA SHILINGI BILIONI 480 KWA MWAKA

Meneja Uhusiano na Mawasiliano  wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Bw. Abel Ngapemba akifanunua kwa waandishi umuhimu wa mradi wa uchimbaji magadi soda  katika mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO. Kushoto kwake ni Mhandisi wa mradi Godfrey Mahundi na mkuu wa kitengo cha viwanda vya Kemikali Mhandisi Abdallah Mandwanga. ----------------------------------------   Na Frank Mvungi-MAELEZO

 Tanzania ni miongoni  mwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mashirika ya umma balaa

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ameibua madudu yanayofanywa na Bodi za Mashirika na Taasisi za Serikali na kudai kwamba wakurugenzi wake wamekuwa wakifuja mamilioni ya fedha za umma kwa kufanya mikutano nje ya nchi.

 

9 years ago

Michuzi

TAASISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YAASWA KUTUMIA SEHEMU YA FAIDA WANAYOPATA KUSAIDIA HUDUMA ZA AFYA.

  Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akizungumza na viongozi  na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Kisarawe leo  kabla ya kukabidhi msaada wa  shuka 176 kusaidia wodi ya Wazazi ya hospitali hiyo. Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akikabidhi msaada wa shuka 176 kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Dkt.Martin Msokela (kulia) leo. Mashuka hayo yametolewa na chuo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani