WATEJA WA VODACOM KUPERUZI INTANETI BURE
![](http://api.ning.com:80/files/yIRAODsxTEzIz1-jV*NMnVoZ*jOTEco*pgd1147PsMcbviMH0za3VNXHysOLj7GVDQ2xxJnA73-ibcxhNxerr-3pgT38KxrQ/001.KTAPPSTAR.jpg?width=650)
Dar es Salaam, May 20, 2015: Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza kuperuzi internet inayofikia MB100 kwa masaa mawili bure kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 2 asubuhi kutokana na ofa inayojulikana kama "Good Morning Tanzania" inayotolewa na Vodacom Tanzania. Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata taarifa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-HyZaQLJXKco/VVysFguTX8I/AAAAAAAHYkM/TXuFMr5OnB8/s72-c/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
Wateja wote wa Vodacom Tanzania kuperuzi intaneti bure kwa masaa 2 kila siku asubuhi
![](http://1.bp.blogspot.com/-HyZaQLJXKco/VVysFguTX8I/AAAAAAAHYkM/TXuFMr5OnB8/s640/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata taarifa kupitia mtandao wa intaneti.Vodacom Tanzania siku zote imekuwa mstari wa mbele kubuni huduma...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-BwuS6wvFGeQ/VmbqeBlgCgI/AAAAAAAILAU/pXDWGi1xIOk/s72-c/1A.jpg)
WATEJA WA AIRTEL KUONA VIDEO ZA YOUTUBE BURE WAKIJIUNGA NA YATOSHA INTANETI
![](http://4.bp.blogspot.com/-BwuS6wvFGeQ/VmbqeBlgCgI/AAAAAAAILAU/pXDWGi1xIOk/s640/1A.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-xXMy5zFfO0Y/Vmbqdwy3cKI/AAAAAAAILAQ/gXPosX4timY/s640/2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jUJMN8Auigg/XlLbOCLFh9I/AAAAAAALe8Q/GGzitYY0jRwthoJVY8oVKP-i9eYGGCmAwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.png)
Huduma ya Intaneti Vodacom yarejea
![](https://1.bp.blogspot.com/-jUJMN8Auigg/XlLbOCLFh9I/AAAAAAALe8Q/GGzitYY0jRwthoJVY8oVKP-i9eYGGCmAwCLcBGAsYHQ/s400/index.png)
Huduma ya intaneti ya Vodacom imerejea majira ya saa 2:30 usiku tarehe 23 Februari 2020. Tunasikitika kwa usumbufu wote uliyojitokeza. Tumedhamiria Kutoa huduma bora kwa wateja wote na kuzingatia viwango vya kimataifa. Wateja wote waliopatwa na madhara haya watapata fidia na walio nunua bando watarejeshewa kuanzia kesho.
11 years ago
MichuziVodacom yawahimiza Watanzania kuendelea na matumizi ya intaneti
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqqMAvAiVoOqyOyapCkr3CWOUHKQ97IcBdlR5y-9C4s-t1sk3aa97Ztwxlh0WIJJ7wHXuQiBCLTh2krBlE-YSw3v/Prswa.png?width=650)
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Wateja Gapco kupata mafuta bure
KAMPUNI ya uuzaji wa bidhaa za mafuta nchini, Gapco imezindua programu aminifu kuwezesha wamiliki wa magari kujipatia pointi wanunuapo mafuta ambazo zitawawezesha kupata mafuta bure kama faida. Mpango huo utawanufaisha...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Pic-1.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff0Mmf33OeLe0jo4QazUM1i*rAGCAnXJYqiA9rCPlGpzwVZIqtjaGcteNDNjxylgKAbfTNEZrEnXmXPrPZlqo3UE/Pic1.jpg?width=650)
WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qDkZrxXGfkg/VFsoM3Pu64I/AAAAAAAGvsQ/Y9Zv9Ra0XJA/s72-c/PR%2Bpost.png)