Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chalinze wakosa huduma ya maji

WAKAZI wa Chalinze na vitongoji vyake wanaotegemea kupata maji kutoka chanzo cha Mto Wami, wako katika kipindi kigumu kutokana na kukosekana kwa huduma hiyo kwa zaidi ya wiki moja. Wakazi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Hanang’ wakosa maji safi

WANANCHI zaidi ya 3,000 wa Kijiji cha Hedet, Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, kwa zaidi ya miaka miwili sasa hawana huduma ya maji safi na salama kutokana na baadhi yao...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Manispaa ya Morogoro wakosa huduma kwa saa 8

Wakazi wa Manispaa ya Morogoro wamekosa huduma ya Usafiri wa daladala  kwa muda wa saa saba baada ya madereva wanaotoa huduma hiyo kugoma  wakishinikiza kuachiwa kwa wenzao waliokamatwa kwa kutuhumiwa kubeba mafuta ya petrol kwenye gari zao  pamoja na kero ya faini zisizo na msingi  kutoka SUMATRA.

Madereva hao wamesema wamechoshwa na vitendo vinavyofanywa na maafisa kutoka mamlaka ya Udhibiti usafiri wa majini na nchi kavu (SUMTRA) pamoja na manyanyaso kutoka jeshi la Polisi  kitengo cha...

 

10 years ago

Michuzi

DAR YAFUNIKWA NA MAJI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, WANANCHI WAKOSA MAKAZI


 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii.


MAFURIKO,Mafuriko,Mafuriko .! Jiji la Dar limejaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha wengine kukosa makazi.


Maeneo yaliyokumbwa kwa mafuriko ni Mnyamani (Ilala),Bonde la Mpunga (Kinondoni) ,Kigogo (Kinondoni),Mikocheni ( Kinondoni),Vingunguti (Ilala) Tabata Kisiwani (Ilala)na Kurasini (Temeke) na maeneo mengine ambayo hayajawahi kupata mafuriko yamefika.


Mvua hizo zimeharibu miundombinu katika barabara ya Morogoro kwa kujaa...

 

9 years ago

StarTV

Sera Ya Afya Kutotungiwa Sheria yasababisha  Wazee nchini wakosa huduma bora za afya

Kukosekana kwa huduma bora katika sekta ya afya inayowatambua wazee kupata matibabu bora na bure kunatokana na sera ya wazee kutotungiwa sheria tangu mwaka 2003 inayotoa muongozo kwa watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali kuwahudumia.

Licha ya sera hiyo kutoa mwongozo kwa kila zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya na mkoa kuwa na chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee ikiwemo daktari anayetambua magonjwa yao lakini bado sera hiyo haitekelezwi.

 Naibu Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Ndoo ya maji Chalinze yafikia Sh 700

UONGOZI wa Mradi wa Maji wa Wami Chalinze wilayani Bagamoyo, umetakiwa kutoa taarifa juu ya ukosefu wa maji, uliodumu takribani mwezi mzima sasa.

 

10 years ago

Habarileo

Bilioni 800/- kukabili uhaba wa maji Chalinze

Ridhiwani KikweteCHANGAMOTO ya maji wilayani Bagamoyo mkoani Pwani huenda ikawa historia baada ya serikali ya India kutoa kiasi cha Sh bilioni 800 kwa ajili ya mradi wa maji wa Wami Chalinze.

 

10 years ago

Michuzi

Shida ya Maji Jimbo la Chalinze kuanza kusahaulika

 Wataalam wa uchimbaji wa visima virefu vya maji,wakiendela na shughuli hiyo katika eneo la Shule ya Msingi Kwamsanja iliopo katika kijiji cha Kwamsanja ndani ya Jimbo la Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani.Hatua hiyo imekuwa kutokana na ahadi ya iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete wakati wa Kampeni za Kuwania Ubunge katika Jimbo hilo. Shughuli ya upatikanaji wa Maji sasa imekamilika na kinachofuata ni ujengaji wa Tanki kubwa la kuhifadhi maji hayo,ambayo yatatatua...

 

9 years ago

Michuzi

JK,WAZIRI LWENGE WAKAGUA MITAMBO YA MAJI WAMI,CHALINZE


Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (katikati), akizungumza na Waziri wa Maji, Gerson Lwenge wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na kusafirisha maji Wami, katika Halmashauri ya Mji wa Chalinze, mkoani Pwani leo.Rais Jakaya Kikwete na Lwenge wakiangalia mitambo ya kusafisha maji
Wakiwa katika picha ya pamojaRais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete , akizungumza na Waziri wa Maji, Gerson Lwenge (kushoto kwake) wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na kusafirisha maji Wami,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani kikwete aahidi kutatua tatizo la umeme, maji Kiwangwa,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa ujenzi kutoka Kambi ya Mzinga ya JWTZ, Aloyce Mayunga (kushoto) alipokwenda kukagua ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Kiwangwa wakati wa ziara ya kikazi ya katika Kata ya Kiwangwa, wilayani Chalinze, Pwani jana Aliwataka wajenzi hao kujenga maabara hayo kwa kuzingatia viwango. Katikati ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Bagamoyo, Saleh Mpimbwi.

02

 Ridhiwani Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani