Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK,WAZIRI LWENGE WAKAGUA MITAMBO YA MAJI WAMI,CHALINZE


Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (katikati), akizungumza na Waziri wa Maji, Gerson Lwenge wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na kusafirisha maji Wami, katika Halmashauri ya Mji wa Chalinze, mkoani Pwani leo.Rais Jakaya Kikwete na Lwenge wakiangalia mitambo ya kusafisha maji
Wakiwa katika picha ya pamojaRais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete , akizungumza na Waziri wa Maji, Gerson Lwenge (kushoto kwake) wakielekea kukagua mitambo ya kusafisha na kusafirisha maji Wami,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA MAJI KING'ONGO DAR WAKAGUA UJENZI WA MRADI WAO WA MAJI ULIOFADHILIWA NA TBL

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MO Resources Limited,Onesmo Sigalla (kulia), akitoa maelezo kwa kwa wajumbe wa Kamati ya Maji ya Mtaa wa King'ongo,  Kata ya Salanga, Kimara, Dar es Salaam,  kuhusu hatua aliyofikia ya usafishaji maji katika ujenzi wa kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kamati hiyo iliyokwenda kukagua maendeleo ya mradi huo jana, iliongozwa na Mwenyekiti wa Mtaa huo, Demetrius Mapesi (kulia). Wajumbe wengine ni Anna Kibwana (wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dawasco yazima mitambo ya maji

SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) limezima mitambo miwili ya uzalishaji maji kwenye mitambo yake ya Ruvu Juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani na Mtoni uliopo Temeke, Dar...

 

5 years ago

CCM Blog

GARI LATUMBUKIA MTO WAMI, DEREVA BADO YUPO CHINI YA MAJI. MTO UNA VIBOKO NA MAMBA (+ VIDEO)


Kutoka Daraja la Wami, zimetokea ajali mbili tofauti ambazo hazijapishana sana, moja ni ya Lori ambalo lilifeli breki na kutumbukia Mtoni na bado halijatolewa huku ikiaminika kuwa Dereva bado yupo ndani ya Lori hilo chini ya maji tangu Ijumaa June 05, 2020 ajali ilipotokea, wenzake wawili tayari wameokolewa .Wakati Watu wakiwa wamejaa kushuhudia ajali hiyo ghafla Lori jingine pia likafeli breki na kuua Watu wawili (Mama na Mtoto) kisha kuyazoa magari zaidi ya sita ambayo yote yameharibika...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ARIDHISHWA NA KASI YA UPANUZI WA MITAMBO MIPYA YA MAJI RUVU CHINI

  KaTtibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Maji wa MCAT (Millenium Challenge Acount Tanzania,Bwana William Christian kuhusianana namna maji yanavyokusanywa na kusambazwa maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Pwani na Jiji la Dar,kati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar,Mh.Mecky Sadicky akisikiliza.  KaTtibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwaongoza viongozi wa CCM Wilaya ya Kinondoni kutembelea mitambo mipya baada ya upanuzi wa mitambo ya maji ya Ruvu Chini, wilayani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chalinze wakosa huduma ya maji

WAKAZI wa Chalinze na vitongoji vyake wanaotegemea kupata maji kutoka chanzo cha Mto Wami, wako katika kipindi kigumu kutokana na kukosekana kwa huduma hiyo kwa zaidi ya wiki moja. Wakazi...

 

10 years ago

Habarileo

Ndoo ya maji Chalinze yafikia Sh 700

UONGOZI wa Mradi wa Maji wa Wami Chalinze wilayani Bagamoyo, umetakiwa kutoa taarifa juu ya ukosefu wa maji, uliodumu takribani mwezi mzima sasa.

 

10 years ago

Michuzi

Shida ya Maji Jimbo la Chalinze kuanza kusahaulika

 Wataalam wa uchimbaji wa visima virefu vya maji,wakiendela na shughuli hiyo katika eneo la Shule ya Msingi Kwamsanja iliopo katika kijiji cha Kwamsanja ndani ya Jimbo la Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani.Hatua hiyo imekuwa kutokana na ahadi ya iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete wakati wa Kampeni za Kuwania Ubunge katika Jimbo hilo. Shughuli ya upatikanaji wa Maji sasa imekamilika na kinachofuata ni ujengaji wa Tanki kubwa la kuhifadhi maji hayo,ambayo yatatatua...

 

10 years ago

Habarileo

Bilioni 800/- kukabili uhaba wa maji Chalinze

Ridhiwani KikweteCHANGAMOTO ya maji wilayani Bagamoyo mkoani Pwani huenda ikawa historia baada ya serikali ya India kutoa kiasi cha Sh bilioni 800 kwa ajili ya mradi wa maji wa Wami Chalinze.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAJI AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MRADI WA MAJI YA DHARURA KARATU

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe mwishoni mwa wiki alitembelea mradi wa maji wa dharura Karatu Mjini kuona utekelezaji wake. Mradi huo mahsusi kwa ajili ya kukabiliana na upungufu mkubwa wa maji mjini Karatu unasimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Jijini Arusha (AUWSA).
Pia, Prof. Maghembe alitembelea Halmashauri ya Mji wa Karatu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji na utekelezaji wa miradi ya maji wilayani humo katika programu ya vijiji 10 ya BRN. Waziri wa Maji, Prof....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani