Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MAJI AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MRADI WA MAJI YA DHARURA KARATU

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe mwishoni mwa wiki alitembelea mradi wa maji wa dharura Karatu Mjini kuona utekelezaji wake. Mradi huo mahsusi kwa ajili ya kukabiliana na upungufu mkubwa wa maji mjini Karatu unasimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Jijini Arusha (AUWSA).
Pia, Prof. Maghembe alitembelea Halmashauri ya Mji wa Karatu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji na utekelezaji wa miradi ya maji wilayani humo katika programu ya vijiji 10 ya BRN. Waziri wa Maji, Prof....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AFANYA ZIARA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI MOSHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa ameambatana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Ibrahim Msengi wakiwa na mwenyeji wao mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,(MUWSA)mhandisi Cyprian Luhemeja wakati akitembelea chanzo cha maji cha Cofee Curing. Chanzo cha Maji cha Cofee Curing. Jengo dogo ambalo linatumika kuhifadhi dawa maalumu ya kuweka kwenye maji kwa ajili ya Chlorination. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa maji akagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji Bunda

 Naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla amekagua mradi mkubwa wa maji utakaohudumia wananchi wa mji wa Bunda na vijiji 13 vilivyopo karibu na chanzo na vitakavyopitiwa na bomba kuelekea mji wa Bunda Kwa mujibu wa injinia Gantala Gantala mkurugenzi wa mamlaka ya maji musoma ambao ndiyo wasimamizi wa ujenzi wa mradi huo kwa niaba ya wizara ya maji ameleza kuwa mahitaji ya maji sasa kwa wananchi wa mji wa Bunda ni lita milioni 5 kwa siku wakati uzalishaji wa sasa maji ni lita milioni moja na...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI ATEMBELEA MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA, KAHAMA,SHINYANGA NA KISHAPU


ZIARA ya naibu waziri ilianzia kwenye chanzo ca maji kitongoji cha Ihelele, kijiji cha Nyanghomango kwa kugagua chanzo, sehemu ya kutibu maji na kusukuma maji kisha kuongea na wananchi wa kijiji cha NysnghomangoAidha alikagua mradi unaoendelea kujengwa wa kupeleka maji miji ya mwadui, Maganzo na Kishapu.


Mradi huu mkubwa wa maji unagharimu shilingi bilioni 254 na una uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 120 kwa siku lakini mpaka sasa unazalisha maji lita milioni 80 tu kwa siku na unahudumia...

 

9 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA MAJI MH. AMOS MAKALLA AKAGUA MRADI WA MAJI KATIKA MJI WA GEITA

Naibu waziri akikagua kazi za uchimbaji mitaro, ulazaji wa mabomba na ukaguzi wa tanki.Mh Amos Makalla ( kulia ) akipewa maelekezo zaidi ya mradi huo


Mkuu wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa akimpokea naibu waziri maji Amos Makalla.
Naibu waziri wa maji Amos Makalla leo ametembelea mradi  unaotekelezwa kwa ushirikiano wa serikali na mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) wa uboreshaji huduma ya maji kwa mji wa Geita
 Mradi huu unagharimu fedha sh 10 bilioni ambao kukamilika kwake kutaongeza huduma ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI ATOA SIKU 90, KWA MKANDARASI ANAESAMBAZA BOMBA LA MAJI MRADI WA MLANDIZI

Waziri wa maji ,Jumanne Maghembe (wa kwanza kulia) akizungumza na wakandarasi wanaojenga bomba la maji la Mlandizi Kimara Januari 20, 2015 mkoani Pwani wakati alipotembelea miradi ya maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na maji Taka (DAWASA), kwalengo la kupata tathimini ya mradi huo ulipofikia sasa.Waziri wa maji Jumanne Mghembe (wa pili kulia) akiwa ameongozana na meneja mradi Pintu Dutta (watatu kulia) wakati akikagua maendeleo ya mradi wa kituo cha kusafisha maji cha ruvu juu...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KWADELO WILAYA YA KONDOA

 Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.  Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.  Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOSI MAKALA ATEMBELEA ENEO LA MRADI MKUBWA WA MAJI WA MWANGA/KOROGWE.

Naibu Waziri wa Maji ,Amos Makala akitembelea eneo la mradi mkubwa wa Maji unaojengwa katika kijiji cha Kirya wilayani Mwanga.Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akizungumza jambo na meneja mshauri wa mradi Sharif Saleh mara baada ya kukagua mitambo maalumu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa mradi huo.Naibu waziri wa Maji Amosi Makala akifurahia jambo na meneja mshauri wa mradi mkubwa wa maji wa Mwanga Korogwe Sharif Salehmara baada ya kuangalia maadalizi ya ujenzi wa mradi huo.
PICHA ZAIDI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani