Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yaimarisha huduma za maji

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuimarisha huduma za maji safi na salama kwa lengo la kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi wote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

TICTS yaimarisha huduma zao

MENEJA wa Operesheni katika kitengo kinachoshughulikia upakuaji na upakiaji wa makontena bandarini (TICTS), Donald Talawa amesema majukumu ya kitengo hicho yameimarika zaidi baada ya kupata vifaa vya kisasa vyenye thamani...

 

5 years ago

Michuzi

ARUMERU YAIMARISHA HUDUMA ZA AFYA

Na Woinde Shizza ,ARUMERU
Kanisa la Pentecoste Ngulelo linaloongozwa na Mwalimu Onesmo Nnko limekabidhi vifaa vya afya vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 9 kwa Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano baina ya kanisa na Serikali.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo ambavyo vimetolewa kutokona na sadaka za waumini wa kanisa la Pentecoste Arusha Jana , kiongozi wa kanisa hilo mwalimu Onesmo Nnko amesema wao kama kanisa wana kila sababu...

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yahofia 13 kufa maji ajali mv Kilimanjaro

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeunda Tume kuchunguza ajali ya boti ya Kilimanjaro II iliyotokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika mkondo wa Nungwi ambapo hadi sasa watu 13 hawajulikani walipo wakihofiwa kufa maji.

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yajieleza kuhamisha huduma za macho Mnazi Mmoja

WIZARA ya Afya imesema huduma za kitengo cha macho kwa wagonjwa wa hospitali ya Mnazi Mmoja zimehamishwa na kupelekwa Kibweni katika hospitali ya kijeshi ya KMKM.

 

9 years ago

Vijimambo

KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA CHATOA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAMU KWA VIKOSI VYA SMZ

Kamanda wa Polisi mkoa wa kusini Pemba ‘RPC’ Juma Yussuf Ali, akifungua mafunzo ya siku mbili yaliowahusisha Polisi jamii na Vikosi na Idara maalumu ya ‘SMZ’ Pemba, juu ya haki za binadamu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la Pemba, kulia ni Mratibu wa mfaunzo hayo, Khalfan Amour Mohamed, na kushoto ni mtoa mada kutoka afisi ya ‘DPP ‘Pemba Mohamed Ali JumaMratibu wa mafunzo ya haki za binadamu kwa Vikosi na Idara maalumu za SMZ, Khalfan Amour Mohamed akielezea...

 

11 years ago

Habarileo

Wajapani kuboresha huduma za maji

SHIRIKA la Misaada la Maendeleo la Japan (JICA) limesema litaimarisha mradi wa huduma za maji safi na salama Zanzibar. Limesema lengo la hatua hiyo ni kuongeza uzalishaji wa huduma hiyo kwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chalinze wakosa huduma ya maji

WAKAZI wa Chalinze na vitongoji vyake wanaotegemea kupata maji kutoka chanzo cha Mto Wami, wako katika kipindi kigumu kutokana na kukosekana kwa huduma hiyo kwa zaidi ya wiki moja. Wakazi...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Huduma za maji, umeme zimekua’

Wakati huduma za umeme na maji zikilalamikiwa na wananchi kwamba hazijaboreshwa, takwimu zilizotolewa na Serikali zinaeleza kuwa huduma hizo zimekua mara mbili zaidi mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Huduma ya maji Dar yarejea tena

BAADA ya wakazi wa Dar es Salaam na Bagamoyo kukaa bila maji takribani siku nane, hatimaye baadhi ya maeneo yameanza kupata maji baada ya matengenezo yaliyokuwa yanafanyika kukamilika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani