Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yajieleza kuhamisha huduma za macho Mnazi Mmoja

WIZARA ya Afya imesema huduma za kitengo cha macho kwa wagonjwa wa hospitali ya Mnazi Mmoja zimehamishwa na kupelekwa Kibweni katika hospitali ya kijeshi ya KMKM.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PPF YATOA HUDUMA Wiki ya Utumishi Mnazi Mmoja Dar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Utawala Bora), George Mkuchika, akisalimiana na Meneja Kumbukumbu wa Mfuko wa Pesnheni wa PPF, Gladness Mteta, alipotembelea banda la PPF, kwenye maonyesho ya wiki ya Utumishi yaliyoanza jana kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, akimsikiliza Meneja Kumbukumbu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Gladness Mteta (Wakwanza kushoto), alipotembelea bandfa la Mfuko huo kwenye ufunguzi wa Wiki ya...

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR KUENDELEA KUTOA HUDUMA MASAA 24-THABIT KOMBO.

Na Rahma Khamis /Takdiri Ali- Maelezo Zanzibar                          
Wizara ya Afya Zanzibar imesema Kitengo cha Mifupa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kinaendelea kufanya kazi zake za kutoa Matibabu Masaa 24 kama kawaida kwa kufuata utaratibu maalum uliowekwa Hospitalini hapo.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo huko katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani wakati alipokuwa akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua...

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar

Daktari wa Shirika la Spacsaver Ingrid Stenersen akimfanyia uchunguzi mmoja ya wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki waliofika Skuli ya Sekondari ya eneo hilo kupatiwa huduma ya macho.Daktari wa macho kutoka Shirika la Spacsaver Petter Daniesin akimfanyia vipimo mtoto Sabrina Abdalla Salum katika zoezi linalofanyika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwa katika mistari wakisubiri huduma ya kupima macho inayotolewa kwa ushirikiano na madaktari kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

JK ATEUA MKUU WA WILAYA MMOJA NA KUHAMISHA WENGINE 10 leo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia leo, Jumatatu, Mei 25, 2015.

Aidha, Rais Kikwete amefanya uhamisho wa wakuu 10 wa Wilaya kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa Wilaya mbali mbali nchini.

Katika mabadiliko hayo, Rais Kikwete amemhamisha Luteni Edward Ole Lenga kutoka Wilaya ya Mkalama, Mkoa wa Singida kwenda kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa, Mkoa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sala ya Idd kitaifa Mnazi Mmoja

WAUMINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kuimarisha umoja na mshikamano kwa kusimamia maadili, hususani katika kusherehekea Sikukuu ya Idd el-Fitri inayoadhimishwa kitaifa jijini Dar es Salaam, leo. Akizungumza na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wapigadebe wazua vurugu Mnazi Mmoja

BAADHI ya wapigadebe wa kituo cha daladala Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana walizua vurugu baada ya kuwapangia abiria utaratibu wa kuingia kwenye daladala. Wakizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...

 

11 years ago

Michuzi

KIKWANGUA ANGA KIPYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM

Kikwangua anga kipya katika barabara ya Lumumba na pembeni mwa Busatani ya Mnazi Mmoja garden jijini Dar es salaam ambalo limelipiku jengo konge la Ushirika (juu kulia) ambalo miaka ya nyuma ndilo lilikuwa linaongoza kwa urefu jijini Dar es salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi Mary Jadi akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif msongamano wa watoto wanaoungua moto ambao hulazimika kulazwa wagonjwa watatu kwa kitgand kimoja.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Mtoto mgonjwa Nasrya Kombo aliyelazwa Hospitali kuu ya Mnazi mmoja baada ya kuungua kiwa moto.Pembeni ya Balozi Seif ni Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AFUNGUA ICU HOSPITALI YA MNAZI MMOJA,ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Balozi mdogo wa China aliyepo Zanzibar Bw. Xie Yun Liang, wakifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea wodi mpya ya wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja, baada ya kuifungua rasmi.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani