Sala ya Idd kitaifa Mnazi Mmoja
WAUMINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kuimarisha umoja na mshikamano kwa kusimamia maadili, hususani katika kusherehekea Sikukuu ya Idd el-Fitri inayoadhimishwa kitaifa jijini Dar es Salaam, leo. Akizungumza na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI KITAIFA KUFANYIKA MNAZI,MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015, leo jijini Dar es salaam amesema maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za ugonjwa wa Malaria...
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Maadhimisho siku ya Malaria duniani kitaifa kufanyika Mnazi mmoja jijini Dar Es Salaam
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015 alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za Malaria na mbinu za kukabiliana na ugonjwa huo.
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini...
11 years ago
MichuziDKT BILALI AONGOZA SWALA YA IDDI KITAIFA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
MichuziSwala ya Eid El Fitr kitaifa yaswaliwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar leo
Sehemu ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa kwenye Ibada ya Eid el Fitr katika...
9 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA MTINDIO WA UBONGO DUNIANI KITAIFA YAFANYIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
Na Dotto MwaibaleWAKUU wa Shule mbalimbali wametakiwa...
11 years ago
GPLSHEKHE MKUU ATANGAZA SWALA YA IDD KITAIFA
11 years ago
Habarileo20 Jul
Idd el Fitr kuswaliwa kitaifa Dar es Salaam
WAKATI Waislamu wakiwa ukingoni mwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, imefahamika kuwa, swala ya Idd el Fitr itafanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete.
11 years ago
MichuziSemi- finished houses for SALE at Kunduchi Sala Sala, Dar es salaam
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Wapigadebe wazua vurugu Mnazi Mmoja
BAADHI ya wapigadebe wa kituo cha daladala Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana walizua vurugu baada ya kuwapangia abiria utaratibu wa kuingia kwenye daladala. Wakizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...