Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEKHE MKUU ATANGAZA SWALA YA IDD KITAIFA

  Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ametangaza Swala ya Sikukuu ya Idd El Fitri inayotarajiwa kufanyika kitaifa katika mkoa wake. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye kikao maalumu katika Ofisi za  Mkoa wa Dar es Salaam za Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) hii leo, Shekhe Alhad alisema kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Katiba yatawala Swala ya Idd

WATANZANIA wametakiwa kuomba kwa ajili ya amani ya nchi na kuiombea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba, inayotarajiwa kukabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete kesho kutwa ili iweze kufikishwa kwa wananchi na kujadiliwa kwa amani na utulivu na Watanzania wote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sala ya Idd kitaifa Mnazi Mmoja

WAUMINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kuimarisha umoja na mshikamano kwa kusimamia maadili, hususani katika kusherehekea Sikukuu ya Idd el-Fitri inayoadhimishwa kitaifa jijini Dar es Salaam, leo. Akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

DKT BILALI AONGOZA SWALA YA IDDI KITAIFA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO

 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal (nyuma ya Shehe anayeswalisha) akijumuika na waumini wa Kiislamu kwa Swala ya Iddi Kitaifa iliyofanyika katika Bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam asubuhi ya leo.Sehemu ya waumini wa Kiislamu katika Swala ya Iddi Kitaifa iliyofanyika katika Bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam asubuhi ya leo.

 

9 years ago

Vijimambo

SWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd El Haji. Sheikh Nurudin Kishki alitohotuba baada ya swala hiyo. Sheikh  Othman Dishi akitoa maelekezo kabla ya kuanza kwa swala hiyo. Waumini wa dini ya kiislam wakiwa katika swala.
 Wanawake na watoto wakiwa kwenye swala hiyo. Mazuria ya kuswalia yakitandikwa kabla ya kuanza ibada. Hapa...

 

11 years ago

Habarileo

Idd el Fitr kuswaliwa kitaifa Dar es Salaam

Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa SalumWAKATI Waislamu wakiwa ukingoni mwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, imefahamika kuwa, swala ya Idd el Fitr itafanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

GPL

SWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd El Haji. Swala ikifanyika kwa unyenyekevu mkubwa. Sheikh Nurudin Kishki alitohotuba baada ya swala hiyo.…

 

11 years ago

Michuzi

Swala ya Eid El Fitr kitaifa yaswaliwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar leo

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal (katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum wakijumuika na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam kwenye Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Othman Michuzi.


Sehemu ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa kwenye Ibada ya Eid el Fitr katika...

 

11 years ago

GPL

SWALA YA EID EL FITRI ILIYOSWALIWA KITAIFA KATIKA VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN MJINI ZANZIBAR LEO ASUBUHI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Waislamu katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika leo katika ukumbi wa Salama...

 

11 years ago

Michuzi

Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo asubuhi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Waislamu mbali mbali na Viongozi katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Zanzibar  leo asubuhi katika kusherehekeka mfunguo wa Mwezi Mtukufu wa  Ramadhan Baadhi ya Mashekhe na Vingozi wakijumuika na waumini mbalimbali na Viongozi katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani