Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katiba yatawala Swala ya Idd

WATANZANIA wametakiwa kuomba kwa ajili ya amani ya nchi na kuiombea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba, inayotarajiwa kukabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete kesho kutwa ili iweze kufikishwa kwa wananchi na kujadiliwa kwa amani na utulivu na Watanzania wote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHEKHE MKUU ATANGAZA SWALA YA IDD KITAIFA

  Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ametangaza Swala ya Sikukuu ya Idd El Fitri inayotarajiwa kufanyika kitaifa katika mkoa wake. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye kikao maalumu katika Ofisi za  Mkoa wa Dar es Salaam za Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) hii leo, Shekhe Alhad alisema kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

SWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd El Haji. Sheikh Nurudin Kishki alitohotuba baada ya swala hiyo. Sheikh  Othman Dishi akitoa maelekezo kabla ya kuanza kwa swala hiyo. Waumini wa dini ya kiislam wakiwa katika swala.
 Wanawake na watoto wakiwa kwenye swala hiyo. Mazuria ya kuswalia yakitandikwa kabla ya kuanza ibada. Hapa...

 

10 years ago

GPL

SWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd El Haji. Swala ikifanyika kwa unyenyekevu mkubwa. Sheikh Nurudin Kishki alitohotuba baada ya swala hiyo.…

 

5 years ago

CCM Blog

IDD HAMAD IDD AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

Kada wa CCM Idd Hamad Idd nae achukua fomu kuwania urais wa Zanzibar kupitia CCM. Ni mtia nia wa 29

 

9 years ago

Habarileo

Amani yatawala Maulid, Krismasi

WAKAZI wa maeneo mbalimbali hapa nchini wamesherehekea sikukuu ya Maulid na Krismasi katika hali ya amani, bila kuwepo na matukio makubwa ya uvunjifu wa amani.

 

10 years ago

Mwananchi

Siasa yatawala maziko ya Kisumo

Maziko ya mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo yametawaliwa na siasa za ‘chini chini’ kati ya makada wa CCM na wanachama wa Chadema huku Rais Jakaya Kikwete akishindwa kutoa hotuba.

 

10 years ago

Habarileo

Migogoro ya wakulima, wafugaji yatawala Bunge

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus KamaniSAKATA la migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji nchini, limetawala mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2015/16 ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, iliyowasilishwa bungeni juzi.

 

10 years ago

StarTV

Rushwa yatawala uchaguzi Chadema Geita

Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mjini Geita wamesema kura za maoni za ubunge na udiwani zimekuwa na vurugu nyingi kutokana na vitendo vinavyodaiwa kuwa ni vya rushwa hali iliyochangia kuchagua viongozi wanaowapendekeza baadhi ya viongozi wasimamizi wa mchakato huo.

Katika kura za maoni za udiwani, wafuasi wa Chama hicho mnamo Agosti 17 majira ya jioni walivamia ofisi ya CHADEMA na kumpiga katibu wa jimbo hilo Ezekiel Mapesa kwa kile kinachodaiwa kuhujumu kura za maoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani