Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idd el Fitr kuswaliwa kitaifa Dar es Salaam

Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa SalumWAKATI Waislamu wakiwa ukingoni mwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, imefahamika kuwa, swala ya Idd el Fitr itafanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAISLAM WASHEREHEKEA EID EL-FITR KITAIFA DAR ES SALAAM

    Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum,  akiwahutubia waumini.
    Makamu wa Rais Gharib Bilali, akizungumza katika hafla hiyo.
   Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Ally Muhidin Mkoyogole akiwa katika dua baada ya kufungua swala.…

 

11 years ago

Michuzi

Swala ya Eid El Fitr kitaifa yaswaliwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar leo

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal (katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum wakijumuika na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam kwenye Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Othman Michuzi.


Sehemu ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa kwenye Ibada ya Eid el Fitr katika...

 

11 years ago

Habarileo

JK awapa Idd el Fitr wazee wasiojiweza

RAIS Jakaya Kikwete ametoa msaada wa chakula kwa kambi ya wazee wasiojiweza ya Bukumbi, wilayani Misungwi mkoani hapa kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitr.

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi mgeni rasmi Idd el Fitr

Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi.RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislamu katika sala ya Idd el Fitr itakayofanyika kimkoa katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

FFU UGHAIBUNI WATOA MKONO WA IDD EL FITR

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka "FFU Ughaibuni"  yenye makao yake nchini Ujerumani, inawapa mkono wa IDD el Fitr wadau wote wa ndani na nje ya Tanzania.Sherehekeeni sikuu ya EID MUBARAKA kwa amani na furaha
EID MUBARAKA ! EID MUBARAKA ! EID MUBARAKAmsikose kusikiliza at www.ngoma-africa.com http://www.ngoma-africa.com

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASHIRIKI BARAZA LA IDD EL-FITR LA WAISLAMU WA AFRICA MASHARIKI NA KATI WANAOISHI UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika Baraza la Idd El-Fitr la Waislamu wa Afrika Mashariki na Kati Wanaoishi Ubelgiji. Baraza hilo limefanyika leo  Brussels -Ubelgiji .

 

10 years ago

Michuzi

ANSWAR-SUN WASWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO


 Amiri wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala ya Iddi katika viwanja hivyo. Shekh Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam leo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo. Waumini wa madhehebu ya Anwar-Suni wakiswali katika viwanja hivyo.Swala ikiendelea. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com

 

10 years ago

GPL

ANSWAR-SUN WASWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO‏

 Amiri wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala ya Iddi katika viwanja hivyo.  Shekh Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam leo. Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani