Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAISLAM WASHEREHEKEA EID EL-FITR KITAIFA DAR ES SALAAM

    Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum,  akiwahutubia waumini.
    Makamu wa Rais Gharib Bilali, akizungumza katika hafla hiyo.
   Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Ally Muhidin Mkoyogole akiwa katika dua baada ya kufungua swala.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Swala ya Eid El Fitr kitaifa yaswaliwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar leo

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal (katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum wakijumuika na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam kwenye Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Othman Michuzi.


Sehemu ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa kwenye Ibada ya Eid el Fitr katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Waislamu washerehekea Sikukuu ya Eid el Fitr leo

>Waislamu  nchini leo wanajumuika na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitr baada ya jana kumaliza mfungo wa mwezi  mtukufu wa Ramadhani.

 

11 years ago

Habarileo

Idd el Fitr kuswaliwa kitaifa Dar es Salaam

Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa SalumWAKATI Waislamu wakiwa ukingoni mwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, imefahamika kuwa, swala ya Idd el Fitr itafanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete.

 

11 years ago

Michuzi

Salaam za Eid el fitr kutoka maryland, marekani

Wadau wakitoka katisa swala ya Eid El Fitr katika msikiti wa Islamic Centre kitongojini Silver Spring, Maryland, Marekani. Wote wanawatakia Eid njema wadau wote wa Globu ya Jamii popote walipo

 

10 years ago

GPL

SHAMRASHAMRA ZA EID EL FITR ZILIVYOPAMBA MOTO KARIAKOO, DAR

Taswira ya baadhi ya mitaa ya katikati ya Kariakoo, Dar, ilivyofurika watu wakifanya manunuzi. Hekaheka zikiendelea katika mitaa ya Kariakoo.…

 

11 years ago

Michuzi

TTCL Yatoa Zawadi ya Eid El Fitr kwa Yatima Dar

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaa wa vyakula kwa vituo vitatu vya kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu vya jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuvisaidia viweze kusherehekea vizuri siku kuu ya Eid El Fitr. 
Msaada huo wenye jumla ya thamani ya shilingi milioni 3 umekabidhiwa na Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, ambaye alisema utaratibu huo ni wakawaida kwa kampuni yao kusaidia makundi na taasisi na...

 

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA TTCL YATOA ZAWADI YA EID EL FITR KWA YATIMA DAR‏

Wawakilishi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Mama Theresa kilichopo Mburahati, wakipokea msaada wao toka kwa Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL.  Kituo cha Watoto Yatima cha Mama Theresa kilichopo Mburahati, Kituo cha Mwandaliwa cha Mbweni na Kituo cha Chakuwama cha Sinza katika picha ya pamoja mara baada ya kupokea zawadi zao jijini Dar es Salaam.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi wa Dar wakiisherehea sikukuu ya Eid El Fitr kwenye ufukwe wa Coco Beach jioni ya leo

 Sehemu ya wakazi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye ufukwe wa Coco Beach jioni ya leo, ikiwa ni sehemu ya kuisherehekea sikumbuki ya Eid El Fitr.  Wengi hupenda kwenda sehemu ya namna hii kwa ajili ya kupunga upepo mwanana wa Bahari. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani