Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK awapa Idd el Fitr wazee wasiojiweza

RAIS Jakaya Kikwete ametoa msaada wa chakula kwa kambi ya wazee wasiojiweza ya Bukumbi, wilayani Misungwi mkoani hapa kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitr.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA

Watawa wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mburahati wakipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla iliyofanyika leo katika Mahabusu ya Watoto Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kituo cha Darul Alqam, Shaban Mohamed akipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hamadombe yawakumbuka wazee wasiojiweza

KAMPUNI ya Hamadombe Distributor ya jijini Dar es Salaam, imetoa msaada kwa watoto yatima katika kituo cha Upendo Life Orphanage cha Kigamboni, na kisha kula chakula cha pamoja na wazee...

 

10 years ago

Michuzi

TUWAKUMBUKE WAZEE WASIOJIWEZA -LULU MTEMVU

Mjumbe wa Baraza la Vijana (UVCCM) wilaya ya Morogoro vijijini, Lulu Mtemvu, katika picha ya pamoja , Desemba 31, 2014 na baadhi ya wazee wasiojiweza wa Kambi ya Funga Funga iliyopo Manispaa ya Morogoro. Mjumbe wa Baraza la Vijana (UVCCM) wilaya ya Morogoro vijijini, Lulu Mtemvu, akimkabidhi zawadi ya vyakula na mbuzi kwa ajili ya sikukuu ya mwaka mpya 2015 kwa Wazee wasiojiweza wa Kambi ya Funga Funga iliyopo Manispaa ya Morogoro, mnamo Desemba 31, 2014, zawadi hiyo ilipokelewa na...

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi mgeni rasmi Idd el Fitr

Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi.RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislamu katika sala ya Idd el Fitr itakayofanyika kimkoa katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

WOLPER ATOA MSAADA KWA WAZEE WASIOJIWEZA JIJINI DAR

Jacqueline Wopler (kushoto) akibeba mfuko wa sukari. Vyakula vilivyotolewa na Jacqueline Wolper katika kituo cha kulelea wazee wasiojiweza kituo cha  Msimbazi Centre  jijini Dar.…

 

10 years ago

Bongo Movies

SIKU YAKE YA KUZALIWA: Jackline Wolper Awatembea Wazee Wasiojiweza

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Muigizaji  Jackline Wolper, akiongozana na baadhi ya waigizaji wenzie wakiwemo Kajala na Nanaiki, Wamewatembelea  wazee wasio jiweza na hiki ndicho alicho andika kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM

“Jamani wapenzi wangu flwz wangu wote sku yangu yakuzaliwa ilikua poa saana jmn am happy nimetembelea ktuo hiki cha wazee wasojiweza kinachosimamiwa na masista ...kiukwel namshukuru Mungu kwa moyo waupendo namapenzi kuwaza nakukumbuka kma kuna watu kma hawa ambao pia...

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA WAJITOA KUWAFARIJI WAZEE WASIOJIWEZA


Mkurungezi mtendaji wa Mwanaharakati Mzalendo Media Krantz Mwantepele akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika katika kituo cha wazee wasiojiweza Msimbazi kinachosimamiwa na jimbo kuu hapa dar es salaam kanisa la katoliki na kuhudumia wazee wapatao kumi na moja waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu.Timu nzima ya Mwanaharakati Mzalendo Media ilikuja hapa kuwaona wazee hawa na kupata nafasi ya kuwafariji na kutoa baadhi ya misaada ya chakula na nguo za kuwasitiri leo siku ya...

 

11 years ago

Michuzi

FFU UGHAIBUNI WATOA MKONO WA IDD EL FITR

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka "FFU Ughaibuni"  yenye makao yake nchini Ujerumani, inawapa mkono wa IDD el Fitr wadau wote wa ndani na nje ya Tanzania.Sherehekeeni sikuu ya EID MUBARAKA kwa amani na furaha
EID MUBARAKA ! EID MUBARAKA ! EID MUBARAKAmsikose kusikiliza at www.ngoma-africa.com http://www.ngoma-africa.com

 

11 years ago

Habarileo

Idd el Fitr kuswaliwa kitaifa Dar es Salaam

Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa SalumWAKATI Waislamu wakiwa ukingoni mwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, imefahamika kuwa, swala ya Idd el Fitr itafanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani