PPF YATOA HUDUMA Wiki ya Utumishi Mnazi Mmoja Dar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Utawala Bora), George Mkuchika, akisalimiana na Meneja Kumbukumbu wa Mfuko wa Pesnheni wa PPF, Gladness Mteta, alipotembelea banda la PPF, kwenye maonyesho ya wiki ya Utumishi yaliyoanza jana kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, akimsikiliza Meneja Kumbukumbu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Gladness Mteta (Wakwanza kushoto), alipotembelea bandfa la Mfuko huo kwenye ufunguzi wa Wiki ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAFANYIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR
10 years ago
MichuziMAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2015 YAENDELEA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziTASWIRA KATIKA SIKU YA MWISHO YA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Michuzi10 years ago
GPLMAMIA WAFURIKA BANDA LA NHIF, KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
11 years ago
MichuziRATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014
MUDA TUKIO MHUSIKA 02.00-03.30 Burudani MC 03.30-04.00 Waalikwa Kuingia Uwanjani MC/Wageni Waalikwa 04.00-04.15 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Kuingia Uwanjani MC/ Kamati ya Mapokezi 04.15-04.30 Mgeni...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Baraza la ushauri la watumiaji usafiri wa Anga TCAA-CCC washiriki kikamilifu wiki ya Utumishi wa Umma Mnazi Mmoja Dar
Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC)wakitoa huduma kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda hilo leo.
Kikosi kazi cha Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) wakiwa tayari kutoa huduma kwa wageni mbalimbali watakaotembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Athuman Bakari, Aziza Tamim na Debora Mligo.
Katibu Mtendaji wa...
10 years ago
VijimamboBARAZA LA USHAURI LA WATUMIAJI USAFIRI WA ANGA TCAA-CCC WASHIRIKI KIKAMILIFU WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM
Katibu Mtendaji wa Baraza...
10 years ago
VijimamboBOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo yaliyoyoanza leo na kufikia tamati baada ya wiki mojaOfisa Uhusiano Mkuu wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akimuelekeza jambo Mwanahabari aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Katikati ni Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema.
Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia...