Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yahofia 13 kufa maji ajali mv Kilimanjaro

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeunda Tume kuchunguza ajali ya boti ya Kilimanjaro II iliyotokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika mkondo wa Nungwi ambapo hadi sasa watu 13 hawajulikani walipo wakihofiwa kufa maji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

SMZ yaimarisha huduma za maji

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuimarisha huduma za maji safi na salama kwa lengo la kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi wote.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AFANYA ZIARA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI MOSHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa ameambatana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Ibrahim Msengi wakiwa na mwenyeji wao mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,(MUWSA)mhandisi Cyprian Luhemeja wakati akitembelea chanzo cha maji cha Cofee Curing. Chanzo cha Maji cha Cofee Curing. Jengo dogo ambalo linatumika kuhifadhi dawa maalumu ya kuweka kwenye maji kwa ajili ya Chlorination. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa...

 

10 years ago

Habarileo

7 wahofiwa kufa maji Kigoma

Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Jafari MohamedWATU saba wanahofiwa kufa maji na wengine 49 wameokolewa kutokana baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kukumbwa na dhoruba katika eneo la vijiji vya mwambao wa kusini wa Ziwa Tanganyika.

 

9 years ago

Global Publishers

Gilla anusurika kufa maji

Gilla (2)Gilla akiogelea
Gilla (1)…akiokolewa baada ya kuzidiwa na maji.Gilla (5)…akipatiwa huduma ya kwanza
Gilla (6)
Gilla-(10)
Stori:Mayasa Mariwata

MSANII wa filamu Bongo, Glasnost Kalinga ‘Gilla’ amejikuta akinusurika kifo wakati alipokuwa akiogelea kwenye ufukwe wa Coco jijini Dar baada ya maji kumzidi kiwango na kuokolewa na wasamaria wema juzi Alhamisi wakati watu wakiwa katika harakati za kuusubiria Mwaka Mpya.

Gilla-(4)Kwa mujibu wa chanzo chetu, awali msanii huyo ambaye alifika mahali hapo mida ya jioni aliamua kutulia kwenye viti...

 

11 years ago

KwanzaJamii

”MV Ruhuhu yasababisha watu kufa maji”

Na Albano Midelo WATU wanaendelea kupoteza maisha katika mto Ruhuhu kutokana na kuvuka mto huo kwa mtumbwi baada ya kivuko cha MV Ruhuhu pichani juu kushindwa kufanyakazi karibu msimu mzima wa mwaka. Kutofanyakazi kwa kivuko cha Ruhuhu kinachounganisha wilaya za Nyasa mkoani Ruvuma na Ludewa mkoani Njombe kunasababisha vifo vya  watu wanaoamua kuvuka mto Ruhuhu kwa kutumia mitumbwi. Wiki hii watu wanne wamepoteza maisha wakati wanajaribu kuvuka mto Ruhuhu kwa kutumia mtumbwi,kasi ya maji ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima saba wahofiwa kufa maji

WAKULIMA saba wanahofiwa kufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kutoka Utete kuelekea Mkongo kupigwa wimbi na kugonga boti kisha kupinduka. Ajali hiyo ilitokea juzi saa 11 jioni katika Kivuko...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mamia wahofiwa kufa maji Libya

Zoezi la uokoaji zinaendelea katika pwani ya Libya baada ya boti mbili zilizokuwa na zaidi ya wahamiaji 500 kuzama karibu na bandari ya Zuwara

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamia ya wahamiaji wahofiwa kufa maji

Mamia ya wahamiaji wanahofiwa kufa maji baada ya boti iliokuwa wakiabiri kuzama karibu na pwani ya Libya.

 

10 years ago

GPL

WANUSURIKA KUFA KWA AJALI MKURANGA

Gari aina ya TATA lenye namba za usajili SU 39761likiwa limehalibika vibaya baada ya ajali hiyo kutokea.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani